Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

Wewe unanufaika vipi na hizi chuki zako?. Maisha yamekuwepo katika hali hii kabla hata hujazaliwa.

Zanzibar kwa eneo ni sehemu ndogo mno kulinganisha na ukubwa wa Bara, ndio jiografia halisi ilivyo na tunaishi nayo hivyo hivyo.
Nipe manufaa(5) tu ya wewe kuungana na Zanzibar, mtoto wako ananufaika nini na muungano wa Zanzibar?
 
Majizi ya mali za umma ndiyo yanamtaka, mimi simtaki wazanzibar ni wabaguzi sn
 
Huyo mfu wako hakushika hatma ya nchi hii ndio maana hayuko nasi sahv, nchi ni ya watanzania ndio waamuzi wa hatma ya nchi yao
Mimi sina mtu mimi si CCM mimi nilikua naonyesha jinsi ambavyo hawaeleweki
 
Saizi hunufaiki? 😁😁

Kubwa kuliko inakuja 👇👇

View: https://x.com/swahilitimes/status/1894706871384064159?t=VklF1Rp5xAbuYqgcGUhNLg&s=19
 
Shida siyo dira, Wala shida siyo maneno ya uzushi, SHIDA ni mikataba ya hovyo ambayo ikipelekwa bungeni kujadiliwa, inaleta sintofahamu baina yenu wenyewe, yote hiyo ni kwasababu ya uchawa na njaa Kali.
 
Nipe manufaa(5) tu ya wewe kuungana na Zanzibar, mtoto wako ananufaika nini na muungano wa Zanzibar?
Muungano
1 Umoja, umoja ni nguvu
2 Nguvu ni ushawishi wa kimataifa
3 Ushawishi unaongeza heshima
4 Heshima inavutia uwekezaji
5 Unyonge wa nchi moja moja huondoka

Gadhaffi mpaka anakufa alisisitizia umoja, Kwame Nkrumah alisisitizia umoja mpaka anakufa.
 
Unajua huenda unajadili jambo ambalo hulijui bandari ya DSM mkataba wake unahusu uendeshaji wa bandari tu kuendelea inaendeleza serikali hiyo ya bagamoyo mkataba wake unahusu ujenzi, uendeshaji na uendelezaji vyote vinafanyika na mwekezaji
Uendeshaji wa zote mbili ni manufaa kwa serikali ya JMT.
 


China wanajenga wharehouse sio viwanda! Yaani kunaweka vitu vya kutoka China.

Kama kawaida mkataba utakuwa siri maana ni rushwa tupu. Nina jamaa zangu Saudi wanacheka nchi inavyo sign mikataba ya kirushwa na watu hata kuulizia mkataba hawafanyi.
 
China wanajenga wharehouse sio viwanda! Yaani kunaweka vitu vya kutoka China.

Kama kawaida mkataba utakuwa siri maana ni rushwa tupu. Nina jamaa zangu Saudi wanacheka nchi inavyo sign mikataba ya kirushwa na watu hata kuulizia mkataba hawafanyi.
Wewe unapenda sana upotoshaji,EPZ sio eneo la maghala japo maghala ni sehemu ya viwanda
 
Hakuna faida hata moja, nataka faida zinazomgusa mwananchi wa Ushirombo, Masama, Useri, Dumila n.k
 
Wewe unapenda sana upotoshaji,EPZ sio eneo la maghala japo maghala ni sehemu ya viwanda


Kma mimi mpotoshaji tuletee mkataba hapa! Kwani kuna kitu gani cha siri mbona Magufuli alisema mambo yote ya mkataba na huu ni sirisiri. Sababu kubwa ni rushwa Dada yangu wewe msiwe kama wajinga. Inawezekana hata haujui rushwa inavyotolewa na waarabu wa Dubai na Saudi kama hujui omba tukuelekeze sio kupigia kelele wala rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…