Plasduce Mbossa wa TPA: Serikali Kupitia TPA imesaini MoUs na Kampuni za Saudi Arabia,China na Egypt Ili Kuendeleza Bandari ya Bagamoyo

Kabla ya uwekezaji wa DP World,wewe ulikuwa inanufaika vipi na Bandari?

Ukinijibu hili swali nafuta Uzi 😂😂
Pamoja ya kwamba yawezekana ilikuwa ni katika substandard, ila kabla hao wajomba zake na Samia hamjawapa bandari mimi kama mtanzania nilinufaika sana tu kama ambavyo nimekuwa nikinufaika na rasilimali nyingine zilizopo nchi hii...!! najua wewe mla makombo ya mafisadi unaweza usinielewe.

kumkabidhi mgeni akuendeshee bandari eti kwa sababu tu wewe umeshindwa kuthibiti ubadhirifu unaofanywa na watu wako, hiyo ni level ya juu kabisa ya ujinga na udhaifu na tafsiri yake ni kwamba hata kwenye sekta zingine zote hali n ile ile tu unahitaji kusaidiwa.
 
But this is an argument from tradition logical fallacy.

It is also an argument from authority logical fallacy.

Kutetea kitu kwa hoja ya "sheria zinasema" ni ujinga. Afrika Kusini sheria zilisema watu weusi wabaguliwe, je, hilo lilikuwa jambo la sawa na haki kwa sababu sheria ilisema?

Uwazi ni kitu muhimu, usiri ni kichaka cha rushwa. Siku hizi hata hao mnaowaita mabeberu wa World Bank wanasisitiza uwazi katika miradi wanayo i fund. Kwa nini serikali ya Tanzania inafanya usiri sana katika mambo yenye public interest?

Wewe huoni kuwa kutetea mikataba ambayo hujaiona, hujui terms zake, hata kwa juu juu tu, ni ujinga?

Kama hujui chochote kuhusu mikataba utajuaje kuwa unatetea kitu kisichokuumiza?

Kaka huyo uliyemquote ni maiti inayotembea, kichwa chake kimebeba matope badala ya ubongo.

Huyo jamaa chochote kinachofanywa na serikali ya Samia kwake yeye ni "twawiree mama"... yaan kwake Samia siku zote yuko right 100% na amededicate maisha yake kumtetea humu mitandaoni hata pale ambapo hakuna mantiki ya kumtetea.

Angalia sasa hivi anakwambia huo mkataba hajauona lakini anautetea kwa sababu tu yeye n mtetezi wa serikali, sasa ni mtu huyo?
 
Wewe unanufaikaje kwa kuungana na Zanzibar? ukinunua TV Zanzibar kuvuka kuja dar unalipa ushuru, lakini ukinunua TV Dar unaenda nayo mpk kwenu Bukoba bila usumbufu, Mzanzibar anapata haki zote kama wewe ulizo nazo, ajira zikitoka Zanzibar anaomba na bara anaomba wewe unanufaikaje na huu muungano fake? wewe akili ako dada angu ni ya kijinga sn shituka.
Wewe unanufaika vipi na hizi chuki zako?. Maisha yamekuwepo katika hali hii kabla hata hujazaliwa.

Zanzibar kwa eneo ni sehemu ndogo mno kulinganisha na ukubwa wa Bara, ndio jiografia halisi ilivyo na tunaishi nayo hivyo hivyo.
 
CCM nyie ni wehu Magufuli alipokataa huo mradi akishangiliwa leo hivi mnaukubali kwa mara nyingine anashangiliwa atakuja mwingine tena apinge anashangiliwa, hovyo kabisa
Huyo mfu wako hakushika hatma ya nchi hii ndio maana hayuko nasi sahv, nchi ni ya watanzania ndio waamuzi wa hatma ya nchi yao
 
Halafu mwanasheria akishapitia wasifu wao nini kinafuatia? Anaushirikisha na uma kabla ya kuwakabidhi rasimi mradi au akishapitia tu yeye na akajiridhisha imetosha?

Na pia hapa tunachotaka ni kuona mkataba unasema nini kipengele kimoja baada ya kingine...

umuhimu huo uwe na tija kwa taifa zima na sio kwa ajili ya maslahi ya genge la watu wa chache tu likiongozwa na yule babu wa msoga.

Sawa, sasa watanzania wanataka kila kitu kiwe wazi, washirikishwe kila hatua ya uwekezaji/mradi huo, na pia hata pesa zitakazopatikana hapo waone jinsi gani zinavyotumika na wasiishie kuambiwa tu tumejenga zahanati 20 kumbe uongo mtupu hela zimeishia mifukoni mwa mafisadi yanayoimba kila mara bibi anaupiga mwingi.
Kila kitu kitawekwa wazi baada ya mwanasheria mkuu kumpitisha mwekezaji mmoja atakayeiendesha bandari.

Masuala ya mikataba husomewa vyuoni miaka na miaka sio kila mtu anayedhani anao uelewa wa mikataba anaweza kuelewa kwa kina kitu gani kinaandikwa ndani ya hiyo mikataba.

Pia usitegemee kuona yale masuala ya mikwaruzano kati ya jamii na ule wa DP World yakijirudia tena.

Hakuna kiongozi wa serikali mwenye muda wa kuufuata umma eti kuomba kujua una maoni gani juu ya suala fulani, hakuna kitu cha namna hiyo kwa maana ya uongozi unavyoendeshwa.
 
Wewe unanufaikaje kwa kuungana na Zanzibar? ukinunua TV Zanzibar kuvuka kuja dar unalipa ushuru, lakini ukinunua TV Dar unaenda nayo mpk kwenu Bukoba bila usumbufu, Mzanzibar anapata haki zote kama wewe ulizo nazo, ajira zikitoka Zanzibar anaomba na bara anaomba wewe unanufaikaje na huu muungano fake? wewe akili ako dada angu ni ya kijinga sn shituka.
Naskia kwenye ajira mpya 1594 za TRA kuna nafasi 300+ zimetengwa kwa ajili ya wazanzibar.. wakati huo hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kusogeza pua yake kwenye ajira za ZRA

Hakika watanganyika ni wajinga mno, acha Samia aitawale hii anavyotaka, akisaidiwa na machawa ambao wengi ni watanganyika.
 
Kaka huyo uliyemquote ni maiti inayotembea, kichwa chake kimebeba matope badala ya ubongo.

Huyo jamaa chochote kinachofanywa na serikali ya Samia kwake yeye ni "twawiree mama"... yaan kwake Samia siku zote yuko right 100% na amededicate maisha yake kumtetea humu mitandaoni hata pale ambapo hakuna mantiki ya kumtetea.

Angalia sasa hivi anakwambia huo mkataba hajauona lakini anautetea kwa sababu tu yeye n mtetezi wa serikali, sasa ni mtu huyo?
Kwa kweli inasikitisha sana kuona kuwa kuna watu kama hawa.
 
Alidanganywa na nani? Kwaiyo ulitaka JPM apitishe mkataba wa kimangungo ili amfurahishe mkwere.

Haya na Samia kwanini alishindwana nao?
Kipengele chenye kusema kwamba wakipewa bandari ya Bagamoyo kuiendesha shughuli nyingine zote za bandari zitasimama, yale yale ambayo watanzania walishindwa kuyaelewa kwenye mkataba wa DPW wakiamini kuwa nchi imeuzwa kupitia kipengele hicho.

Leo pale TPA kuna waendeshaji wawili na hakuna muingiliano wowote wa shughuli zao za kila siku.

Uzi unasema kuna wawekezaji watatu wanaopitiwa juu ya uwezo wao kwa sasa, atapitishwa mmoja na serikali baada ya AG na washauri wake kuwapitia uwezo wao wa kazi upo vipi.
 
Kila kitu kitawekwa wazi baada ya mwanasheria mkuu kumpitisha mwekezaji mmoja atakayeiendesha bandari.
Hebu soma hapa...
Pia usitegemee kuona yale masuala ya mikwaruzano kati ya jamii na ule wa DP World yakijirudia tena.
kwa hiyo this time mtajitahidi kuuficha huo mkataba hili uma usijue nini kilichomo kwenye mkataba kuepusha migongano si ndio maanake? Maana kama ni mkataba wa kimangungo(naamini ndio uko hivyo) obvious lazima mikwaruzano iwepo..
Hakuna kiongozi wa serikali mwenye muda wa kuufuata umma eti kuomba kujua una maoni gani juu ya suala fulani, hakuna kitu cha namna hiyo kwa maana ya uongozi unavyoendeshwa.
Sasa kama hamko tayari kuufuata umma ilihali mko hapo kwa ajili ya kuutumikia huo uma, tunafanya uchaguzi wa nini sasa? Si muwe mnajiteua tu huko nyie wenyewe? Na kwanin mnajilipa mishaara kwa kodi za wanainchi kama ni hivyo?

Na pia soma paragraph yako ya kwanza kisha urudi hapa uone ulivyoji contradict... kweli hakuna chawa mwenye akili
 
Kipengele chenye kusema kwamba wakipewa bandari ya Bagamoyo kuiendesha shughuli nyingine zote za bandari zitasimama, yale yale ambayo watanzania walishindwa kuyaelewa kwenye mkataba wa DPW wakiamini kuwa nchi imeuzwa kupitia kipengele hicho.

Leo pale TPA kuna waendeshaji wawili na hakuna muingiliano wowote wa shughuli zao za kila siku.

Uzi unasema kuna wawekezaji watatu wanaopitiwa juu ya uwezo wao kwa sasa, atapitishwa mmoja na serikali baada ya AG na washauri wake kuwapitia uwezo wao wa kazi upo vipi.
Hakuna sehemu ambayo magufuli alisema hayo ila alisema wakipewa bagamoyo haitakiwa kufanya Wala kuendeleza.

Harafu hao wawekezaji wanataka kuendesha kama DP world?
 
Kwa kweli inasikitisha sana kuona kuwa kuna watu kama hawa.
Cha kustaajabisha sasa hawa machawa ambao wako kutetea madudu ya serikali huku mitandaoni wala hata sio wanufaika wa moja kwa moja wa ufisadi uliopo kwenye hii miradi...

Hawa akina Choicevariable na wenzake ni wala makombo ya mafisadi, yaani mafisadi yakishapiga mabilioni huko ndio yanawarushia na wao vichenji vidogo kama vilaki laki kadhaa kisha wakishashiba ndio wanakuja kuandika nyuzi za mapambio huku mitandaoni kumsifu mama.. mama...!!
 
Hebu soma hapa...

kwa hiyo this time mtajitahidi kuuficha huo mkataba hili uma usijue nini kilichomo kwenye mkataba kuepusha migongano si ndio maanake? Maana kama ni mkataba wa kimangungo(naamini ndio uko hivyo) obvious lazima mikwaruzano iwepo..

Sasa kama hamko tayari kuufuata umma ilihali mko hapo kwa ajili ya kuutumikia huo uma, tunafanya uchaguzi wa nini sasa? Si muwe mnajiteua tu huko nyie wenyewe? Na kwanin mnajilipa mishaara kwa kodi za wanainchi kama ni hivyo?

Na pia soma paragraph yako ya kwanza kisha urudi hapa uone ulivyoji contradict... kweli hakuna chawa mwenye akili
Siasa nyingi za wanaharakati wa Jamii Forum haziwezi kuzuia uwekezaji hapo Bagamayo, siku itafika na mikataba itasainiwa.
 
Cha kustaajabisha sasa hawa machawa ambao wako kutetea madudu ya serikali huku mitandaoni wala hata sio wanufaika wa moja kwa moja wa ufisadi uliopo kwenye hii miradi...

Hawa akina Choicevariable na wenzake ni wala makombo ya mafisadi, yaani mafisadi yakishapiga mabilioni huko ndio yanawarushia na wao vichenji vidogo kama vilaki laki kadhaa kisha wakishashiba ndio wanakuja kuandika nyuzi za mapambio huku mitandaoni kumsifu mama.. mama...!!
Bandari ya Dar yupo DPW na yule mdosi, bandari ya Bagamoyo atapewa huyo mwekezaji atakayepatikana miongoni mwa hawa watatu wanaoangaliwa kwa kina uwezo wao upo vipi.
 
Hakuna sehemu ambayo magufuli alisema hayo ila alisema wakipewa bagamoyo haitakiwa kufanya Wala kuendeleza.

Harafu hao wawekezaji wanataka kuendesha kama DP world?
Bagamoyo wataijenga kuanzia chini kabisa, hapo TPA wataiendeleza ile iliyokuwa imeshajengwa tayari.
 
Back
Top Bottom