The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Pamoja n chuki zako Kwa Waarabu na SSH ila ukweli ni kwamba hao ndio wenye hela.
Nyie mafukara wengine mnaweza fitina tuu nothing else
Hizo ni hisia zako tu. Mimi sina chuki yeyote na Maza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja n chuki zako Kwa Waarabu na SSH ila ukweli ni kwamba hao ndio wenye hela.
Nyie mafukara wengine mnaweza fitina tuu nothing else
Wewe mpuuzi kweli, Tanzania ni kubwa sana kuweza kuunganisha uwepo wa Ushirombo na Unguja.Hakuna faida hata moja, nataka faida zinazomgusa mwananchi wa Ushirombo, Masama, Useri, Dumila n.k
We ndiyo maana uliachika kwa mumeo huna akili, muungano unamnufaisha vipi mwanao aliyopo Karagwe? Ushirombo, Moshi, Arusha au Tanga naruhusiwa kuishi, kugombea, kununua ardhi bila kubaguliwa, wewe unaruhusiwa kugombea/kununua ardhi/kitambulisho cha mkazi Zanzibar? shame on you. Huna akili kabisa huku unajiita una miaka 50, hakuna mtu mjinga kiasi hiki mwenye umri kama wako. Ajira zikitoka Zanzibar wanataka aombe Mzanzibar pekee lakini zikitoka bara zinataka waombe Watanzania na Wazanzibar wakiwe, umewahi kusikia ajira zimetoka wakasema waombe Waarusha/Mwanza au wabara pekee?Wewe mpuuzi kweli, Tanzania ni kubwa sana kuweza kuunganisha uwepo wa Ushirombo na Unguja.
Mengi yanayofanyika Moshi, Arusha au Tanga mjini yanamgusa vipi mwananchi wa kawaida wa Isevya Tabora?.
Achana na hizi roho za kimaskini zitakuchelewesha kufikiria masuala chanya ya kimaisha.
Wewe ndio mpumbavu wa mwisho usioweza kuona ukweli kwamba Zanzibar ni nchi ndogo yenye kulingana na baadhi ya wilaya za mikoa ya Bara, wewe mpuuzi tu utakuwa bado mtoto kiumri hivyo akili zako hazijapanuka ipasavyo.We ndiyo maana uliachika kwa mumeo huna akili, muungano unamnufaisha vipi mwanao aliyopo Karagwe? Ushirombo, Moshi, Arusha au Tanga naruhusiwa kuishi, kugombea, kununua ardhi bila kubaguliwa, wewe unaruhusiwa kugombea/kununua ardhi/kitambulisho cha mkazi Zanzibar? shame on you. Huna akili kabisa huku unajiita una miaka 50, hakuna mtu mjinga kiasi hiki mwenye umri kama wako. Ajira zikitoka Zanzibar wanataka aombe Mzanzibar pekee lakini zikitoka bara zinataka waombe Watanzania na Wazanzibar wakiwe, umewahi kusikia ajira zimetoka wakasema waombe Waarusha/Mwanza au wabara pekee?
Una minyoo wewe, Dar watu wapo milioni 6 na wakati Kilimanjaro ni milioni 1, lini watu wa Dar walizuiwa kuomba ajira Kilimanjaro au tangazo likatoka linataka watu wa Kilimanjaro pekee? kwani Kilimanjaro kuna ardhi ya kutosha ni lini umezuiwa kununua ardhi kilimanjaro au Dar? Tumia akili hata kidogo naona kichwa kimebeba kamasi tupu, tangu juzi nakwambia taja faida 5 tu za moja kwa moja za huu muungano kwa raia wa kawaida kama mimi ni zipi? Mwanao anafaida na nini na huu muungano?Wewe ndio mpumbavu wa mwisho usioweza kuona ukweli kwamba Zanzibar ni nchi ndogo yenye kulingana na baadhi ya wilaya za mikoa ya Bara, wewe mpuuzi tu utakuwa bado mtoto kiumri hivyo akili zako hazijapanuka ipasavyo.
Kwanini ukaombe ajira Unguja wakati unaweza kuajiriwa huku huku bara?.
Kwanini uiwazie ardhi ya Unguja na Pemba wakati hii inayokuzunguka huku bara bado hujui utaitumia vipi iweze kuyasaidia maisha yako?.
Wazanzibari wapo milioni moja na nusu huku bara tupo milioni 63, kwa akili yako kuna uwiano wowote wenye usawa kati ya Tanzania Bara na huko visiwani?.
Hater Bado hujasema Hadi useme 👇 👇Hizo ni hisia zako tu. Mimi sina chuki yeyote na Maza.
Walioamua kuunganisha Zanzibar na Tanganyika walikuwa na akili kuliko wewe mpuuzi mmoja uliokuja kuzaliwa miaka ya baadae.Una minyoo wewe, Dar watu wapo milioni 6 na wakati Kilimanjaro ni milioni 1, lini watu wa Dar walizuiwa kuomba ajira Kilimanjaro au tangazo likatoka linataka watu wa Kilimanjaro pekee? kwani Kilimanjaro kuna ardhi ya kutosha ni lini umezuiwa kununua ardhi kilimanjaro au Dar? Tumia akili hata kidogo naona kichwa kimebeba kamasi tupu, tangu juzi nakwambia taja faida 5 tu za moja kwa moja za huu muungano kwa raia wa kawaida kama mimi ni zipi? Mwanao anafaida na nini na huu muungano?
Mimi nataka kuishi Zanzibar nimepapenda kwanini nizuiwe na wakati ni nchi moja? wewe ulizuiwa lini kuishi Moshi, Tanga au Mwanza? wewe unanufaika na nini kuungana na Zanzibar? taja faida 5 za moja kwa moja, unaweza kuzaliwa muda mrefu lakini ukakosa akili? faida za huu muungano wako fake ni nini? Mzanzibar umeme anaunganishiwa kwa elf 27000 tu lakini mtu yupo Karatu analipa kuanzia 320,000 na umeme unatoka bara. Una akili sawa kweli wewe?Walioamua kuunganisha Zanzibar na Tanganyika walikuwa na akili kuliko wewe mpuuzi mmoja uliokuja kuzaliwa miaka ya baadae.
Ajira zitafute huku huku bara zimejaa usiende kusumbua watu wa visiwani.
Rais alipokuwa JPM ulishawahi kuja na mawazo yenye chuki dhidi ya uwepo wa Zenji?.
Kichwa chenye makamasi cha kwako wewe unayefuga chuki akilini mwako, bila ya kujua zinakuumiza wewe mwenyewe.
Narudia kukueleza wewe mpuuzi kwamba Zanzibar wapo milioni moja tu huku bara tupo milioni 63, hapo hakuna uwiano wowote unaoweza kuleta usawa wa kimaendeleo japo wote tunaunganishwa na Utanzania wetu.
Hongera Serikali na TPA.Hakikisheni Bandari ya Bagamoyo inajengwa Kwa kushirikiana na Private sector.
Hiyo Bandari ni mojawapo ya miradi mikakati ya kutufikisha kwenye mafanikio ya Dira ya 2050 ya Uchumi wa $700Bln.
View: https://www.instagram.com/p/DGfMFRaM8Mq/?igsh=ZTB1N3ZxMDU1aHN5
My Take
Wale wa Bandari zimeuzwa wakatunge uzushi mwingine.
Pia watuambie kabla hazijauzwa tulipata nini na baada ya kuuzwa tumepoteza nini 🤪🤪
View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894323641950605590?t=-a2z339QlYvjJSAFAYo_CA&s=19
Pia soma Tetesi: - Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate
Kubwa kuliko ya Bagamoyo Port ni hii hapa 👇 👇
View: https://x.com/swahilitimes/status/1894706871384064159?t=5ep6_5y0MmLVGnVkNTcCWA&s=19
Hater Bado hujasema Hadi useme 👇 👇
View: https://x.com/swahilitimes/status/1894706871384064159?t=5ep6_5y0MmLVGnVkNTcCWA&s=19
Iko wazi Samia alishagundua kuwa hawa watanganyika hawajali wala hawana uchungu na rasilimali zao... unachotakiwa kufanya ni kuwapa tu uhuru wa kufanya ufisadi kadri wajiskiavyo maana wanaiba pesa zao wenyewe, wakati huo na wewe watakuacha uogoze kwa namna unavyotaka wewe bila bugudha.Majizi ya mali za umma ndiyo yanamtaka, mimi simtaki wazanzibar ni wabaguzi sn
Wananchi wanatakiwa wawe na akili ya kujua jema na baya (lenye faida au hasara) kwa taifa. Habari ya vyama ije baadaye.Nnachokiona hapa watu Wana chuki na Chama kinachounda serikali hata kifanye jambo zuri lipi bado watatafuta angle tu ya kuponda....wapinzani wangepewa nao nchi hata miaka 10 tuone kuna kipi kipya wataleta.....maana wakati mwingine huwa wanaongea theory nyingi sana Sasa wapewe nchi wafanye Yale wanayopigia kelele....wakishindwa tuwafurushe tuwarudishe Kijani tena watawale milele
Kule kwao hana sauti, kwanza mwanamke haruhusiwi kufanya maamuzi yoyote, ndiyo maana huwezi kusikia hadithi za 50 x 50 Zanzibar kama huku na hilo analijua vizuriIko wazi Samia alishagundua kuwa hawa watanganyika hawajali wala hawana uchungu na rasilimali zao... unachotakiwa kufanya ni kuwapa tu uhuru wa kufanya ufisadi kadri wajiskiavyo maana wanaiba pesa zao wenyewe, wakati huo na wewe watakuacha uogoze kwa namna unavyotaka wewe bila bugudha.
Yaani hata ukiuza rasilimali zao zote kwao ni sawa tu mathalani tu uwe umewapa uhuru wa kuiba hasa wale wachache wenye nguvu bila kuwafuatilia...!!
Na huyu mzanzibar haya tunayoyaona akifanya huku bara, kamwe hawezi kuruhusu kule kwao yatokee ndio maana mpaka leo hii hatujaskia akimshawishi mwinyi afanye upuuzi wa kuuza uza rasilimali kama huku bara.
Wewe mwenye uchungu na Rasilimali zako kabla ya Samia zilikunufaishaje ?Iko wazi Samia alishagundua kuwa hawa watanganyika hawajali wala hawana uchungu na rasilimali zao... unachotakiwa kufanya ni kuwapa tu uhuru wa kufanya ufisadi kadri wajiskiavyo maana wanaiba pesa zao wenyewe, wakati huo na wewe watakuacha uogoze kwa namna unavyotaka wewe bila bugudha.
Yaani hata ukiuza rasilimali zao zote kwao ni sawa tu mathalani tu uwe umewapa uhuru wa kuiba hasa wale wachache wenye nguvu bila kuwafuatilia...!!
Na huyu mzanzibar haya tunayoyaona akifanya huku bara, kamwe hawezi kuruhusu kule kwao yatokee ndio maana mpaka leo hii hatujaskia akimshawishi mwinyi afanye upuuzi wa kuuza uza rasilimali kama huku bara.
Mimi sio wewe ni mtu consistent,niliponga kusimamisha mradi wa Bagamoyo Kwa sababu za Kisiasa na wivu wa huyo kilaza wako JPM Ili afanye anayoona yeye yanafaa.Nyie vigeugeu tumeshawazoea. Wakati JPM anasema tunapigwa na kuzuia mradi mlishangilia. Leo unarudi kwa kufichwafichwa mnashangilia tena. Uchawa ni kazi ngumu sana.
Sasa tangu lini kupata mwekezaji ikawa hasara?Wananchi wanatakiwa wawe na akili ya kujua jema na baya (lenye faida au hasara) kwa taifa. Habari ya vyama ije baadaye.
Ni upumbavu kujadili vyama bila kuangalia faida au hasara kwa taifa (wenye nchi).
Kama unajua Hilo basi zile kelele mlizokuwa mnapatuka wakati wa DP World zilikuwa naantiki gani? Uzushi wote wa kipindi kile ulikuwa unalenga nini zaidi ya chuki binafsi Kwa Samia kisa ana nasaba za kiarabu? 😁😁Kwa uelewa wangu MoU sio enforceable by law. Tunasubiri tuone mikataba hapo ndio tutaweza kusema mikataba hiyo imefuata taratibu zetu za manunuzi na kama ina faida kwetu.
Sijaandika kupata au kutopata mwekezaji ni faida/hasara.Sasa tangu lini kupata mwekezaji ikawa hasara?