Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No lipos
Muna sijui ilikuaj
Mwili umegoma kupungua
Nimebahatika kutembelea nchi ambazo zina usawa wa kijinsia au hata niseme wanawake wana ''nguvu'' kuliko wanawaume lakini usidanganyike: mwanamke atabaki kuwa mwanamke na katu hatakaa awe sawa na mwanamme.Yote ni kwa ajili ya kumfurahisha mwanaume
Nina apetite sana hapa upo sahihiLabda unakula kupita kiasi!
Usiniambie ile amazing Masai figure imepotea!Jamani hiyo miili ya plastic surgery inapendeza. Uongo dhambi
Tuelekezane machimbo jamani. And do and dont kwenye hili swala.
Ukifanya plastic surgery ujue utaendelea kuifanya maisha yako yote.Nangojea upate majibu nami nipate faida, ila maswali ya maana naona hawajibu wanakuja miungu watu kukupa ushauri na kukukataza yaliyo moyoni mwako masai dada
Nina apetite sana hapa upo sahihi
Pole naona hujapata majibu zaid ya ushauri usiouhitaji[emoji3] nadhani unaweza tu kugoogle hata kwa kiswahili kama kingereza kitakupa shida....siku kutengeza shep ndiyo mpango mwaya maisha yenyewe mafupi haya enjoyJamani hiyo miili ya plastic surgery inapendeza. Uongo dhambi
Tuelekezane machimbo jamani. And do and dont kwenye hili swala.
Hivi hizi surgery ukifika 50yrs unarudia au ndo forever young?