Empress_sheila
JF-Expert Member
- Apr 16, 2022
- 293
- 336
Tuambie na madharaI am a surgeon at muhimbili orthopaedic institute. Nakushauri achana na mambo ya surgery zisizo na ulazma. Mimi napasua watu daily najua matatzo ya kupasuliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie na madharaI am a surgeon at muhimbili orthopaedic institute. Nakushauri achana na mambo ya surgery zisizo na ulazma. Mimi napasua watu daily najua matatzo ya kupasuliwa.
Kwa vile ushapewa ushauri na kila mtu hapa jukwaani kuhusu madhara yake sasa mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe ufanye ama usifanye..Jamani hiyo miili ya plastic surgery inapendeza. Uongo dhambi
Tuelekezane machimbo jamani. And do and dont kwenye hili swala.
Liposuction is a cosmetic procedure used to remove unwanted body fat. It involves sucking out small areas of fat that are hard to lose through exercise and a healthy diet. It's carried out on areas of the body where deposits of fat tend to collect, such as the buttocks, hips, thighs and tummy.No liposuction
Mh!Tulijuaga kina zari wanafanya mazoezi kumbe ni surgery,nyie matumbo haya yanatuchosha hata mi nataka [emoji12]