Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

eeeeh ndo ako ako kazee baadae kakaja kum snitch Pablo baada ya kuona jamaa ana make alot of money
Yeah nakumbuka,akaingia deal na maadui zake akaanza kuwauzia yeye unga.
Kimoyomoyo nilisema huyu Pablo akimgundua ni shaba tu...
Na ndicho kilichotokea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] cockroach bwana!
 
nimekuelewa mkuu,ya wengine pia
 
Mkuu @TheBold
Mimi binafsi nimeamua kufanya step moja mbele na nadhani utaridhia hiii, ukweli ni kwamba makala zako "sio za mchezo mchezo"...zinasisimiua, ogofya, furahisha, burudisha na kufundisha pia.

Kutokana kua mimi binafsi nimekua nikimfuatilia kwa Karibu huyu bwana Escober, sema most of the time ni ktk English version! Mf. Nimeangalia documentaries zake mbali mbali, nimetazama series yake "Narcos" nimesikiliza masimulizi mengi ya vijiweni juu ya huyu mtu.

But for the first time nimekutana na maelezo ambayo yameingia kichwani 100% kutoka kwako Mr. Bold.

Therefore kwa kumbukumbu zaidi nimeamua kujitengenezea "kitini" kwa ajiri yakuifadhi ktk karablasha zangu,mpaka hapo utakapo amua kutoa kitabu chako

Thanks once again and again mkuu.
 
Mkuu umetisha.
 
The bold mkuu kama inawezekana pia ungeanzisha jukwaa ambalo member atajiunga kwa kuchangia siyo mbaya unapoifanya kazi hii ngumu ya uandishi ufukunyuzi wa taarifa ukapata walau maji ya kunywa.
 
Wow! Am flattered [emoji120]

Shukrani Mkuu..
Vitabu vitakuja, tuombe uzima
 
The bold utasema ulikuwa mfanyakazi wa Pablo...
 
Ahsante mkuu The bold Nashangaa kuna watu wanasema eti ndefu..!! Me nimesoma yote na nimesoma michango yote. Lkn mkuu kwenye hiyo issue ya ubia me pia npo tayari,ntakutafuta mkuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…