Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Salute kwako the bold
 
Hivi wametoka sare au wamefungana?
Sijasoma kwa kweli habari ni ndefu mno !!
 
Angalau ingekuwa kwa audio ingefaa maana ndeeeeefuuuu
 
Angalau ingekuwa kwa audio ingefaa maana ndeeeeefuuuu

Hivi wametoka sare au wamefungana?
Sijasoma kwa kweli habari ni ndefu mno !!
Wakuu, nyuzi hizi zina vichwa vyake ndio maana zinawekwa huku Jamii Intelligence!! Kuna majukwaa mengine huko naamini yatawafaa sana..

Asateni kwa kuja..
 
Wakuu, nyuzi hizi zina vichwa vyake ndio maana zinawekwa huku Jamii Intelligence!! Kuna majukwaa mengine huko naamini yatawafaa sana..

Asateni kwa kuja..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe nawe sio wa spot spot?
 
Mbona ni fupi na tamu mnaolalamika mtakua hamjui story ya huyu drug lord pablo emilio escobar alivosumbua sio marekani na colombia tu bali dunia nzima.
 
mshhUOTE="The bold, post: 18494832, member: 141659"]Wapo Mkuu! Its one of the things niko naresearch right now.. Shukrani kwa pendekezo maridhawa kabisa[/QUOTE]
mshukran sn kwa muda wako ila nnaombi la ziada nomba next tym ukiweza uwe unatuwekea na picha ya muhusika wa simulizi unayokuwa unatusimulia ili kuweka alama ya ukubusho kwa cc wasomaji
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe nawe sio wa spot spot?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti stori ndefu, wakati watu wanasema next time niongeze details iwe ndefu zaidi mtu asome hata siku nzima..
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti stori ndefu, wakati watu wanasema next time niongeze details iwe ndefu zaidi mtu asome hata siku nzima..
Wapumbavu wachache wasikusumbue.
Kwanza wanakupa wakati mgumu wa kufupisha na kubalance story.
Pia watakupunguzia credit maana kivyovyote ukifupisha story lazima kuna vipengele utaviacha.

Andika vile utakavyo,tena ikiwezekana tupatie dose ya week mzima kabisa.

Vinginevyo utatunyima madini tuliokuwa wengi ambao tuna utayari wa kusoma makala ndefu.
 
Ni stor nzur asee but iv hua mnaandika kwa muda gan story kama hii na mnatumia nini kuandika? Sources zake mnazipata wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…