Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Haitotoka kwenye Gazeti lolote lile na kama ukiona mahali imetokea kwenye gazeti lolote, tujuzane Mkuu tuwafanye kama tulivyowafanya wenzao wa Gazeti la Kisiwa..
Kisiwa walifanya nini Mkuu? il Yericko tulimkomesha naona saivi ameacha kuzichukua
 
Nadhan Kiranga anaweza kurudi hii makala ni nzuri sana......ila niliwahi kukwambia mkuu kuna yule jamaa anaitwa Carlos alikuwa mtu hatari na aliwahi kutembea sijui na Malkia wa Uingereza sijui ni kweli? Huyu jamaa nae itakuwa safi kama ukileta stori yake
Yeah nakumbuka Mkuu! Nafanyia kazi hilo..
 
Kisiwa walifanya nini Mkuu? il Yericko tulimkomesha naona saivi ameacha kuzichukua
Hahahaha! Mkuu 'mtani' Yericko niko nae vizuri siku hizi.. He is a good guy

Mkuu niliweka post humu kuhusu kisiwa angalia nyuzi zangu.. Walichukua makala ya 'Geranimo E.K.I.A: kutoka makao makuu ya CIA....' Wakachapisha kwenye gazeti lao bila makubaliano! Ikanibidi 'nilale nao mbele' kama muheshimiwa anavyosemaga..
 
Aseee wanatisha. nadhani hapo lazima ulirara nao wakatoa na kufuta jasho kabisa ha ha
 
Mkuu the bold nimepekua makala zako nying ulizowah kuandika huku Jf hakika inafurahisha kusoma ata iwe ndefu vip haichoshi hicho ni kipaji cha pekeee keep it up bro

Endelea kutupa nondoz kadhaa wa kadha

Ningependa in the future uwaongeleee pia hawa
1-yule jamaa alietoroka gerezan marekan gereza lenye ulinz mkal sana movie yake ilichezwa na Morgan freeman

2-mwongelee pia carlos the jacko

3-el chapo huyu drug kingpin wa Mexico

4-story pia kuhus mashirika ya kijasusi operation zao Na jins gan wanavyo conduct mission zao ndan ya nchi nyingineg MOSAD KGB CIA nk

5-kuhusu Bermuda Triangle kuna conspiracy theory nying Na story pia about hili eneo
 
Nashukuru kwa pongezi Mkuu!

Nayafanyia kazi hayo maoendekezo yote, nitaangalia lipi la kuanza nalo..
 
Asante mkuu, nilijaribu kufuatilia zaidi kwenye mtandao kuhusu Plata o Plomo nikakutanishwa na series moja inaitwa Narcos inazungumzia maisha ya mshikaji, nimedownload few eps, ni nzuri sana.
Thank you mkuu The bold for sharing with us.
 
Makala nzuri ingawa ni ndefu ila hakuna jinsi. Makala kama hii lazima iwe ndefu. Mengi uliyoandika nilikuwa nayafahamu ila siyo too deep kama ulivyoandika. Hongera na asante kwa muda wako kuamua kuweka hii makala.

Ila jambo moja ambalo nililitegemea utaliweka na la muhimu sana ni uhusiano wa CIA na hawa akina Escobar na Noriega Rais wa Nicaragua aliyetekwa nyumbani kwake na wanajeshi wa USA na kufichwa huko USA. Nafikiri hili Escober alilijua na ndiyo maana akawa hataki kabisa kupelekwa USA na akaona heri afe.

Ukitaka kuujuwa ukweli huu ni kufuatilia Mzee wa Crack Cocaine USA aliyeitwa RICK ROSS, the real Rick Ross (Richard Donnell "Freeway Rick" Ross). Mwanzo aliletewa real cocaine aiuze kwa watu weusi na weusi wakamwambia ile ni ghali na wanatumia matajiri tu ambao ni WEUPE. Ndipo akaja kuletewa Crack ambayo imemaliza sana watu weusi US.
Baada ya miaka mingi kupita ndiyo akaja kujua kwamba aliyekuwa akimpa Crack na kumtonya mapema POLICE wakija kumfanyia msako alikuwa ni BOSS wa CIA.
Rick Ross mwanamuziki alikuja kuchukua jina la Rick Ross na kuwa ni Nick name yake ya kimuziki.

Wengine ni hawa Demetrius and Terry Flenory brothers na kundi lao wakijiita Black Mafia Family au BMF. Rick Ross alikuja pia kuimba wimbo na kuuita BMF ingawa anaimba Blowing Money Fast. Sijui kesi na ndugu wa Flenory brothers iliishaje.
Black Mafia Family na wao walitesa sana mitaa ya Atlanta na huku wakiuza Unga kama hawana akili nzuri. Police kila wakipanga kuwavamia na kuwakamata, jamaa walipewa sign mapema na kujisafisha na Police walipofika kwenye majengo yao walikuta hayana Madawa wala silaha.
Jamaa wamesaidia Wanamuziki wengi sana wa Atlanta kuwa maarufu kwani walipenda sana Hip Hop na kuwekeza fedha zao au kutupatupa fedha zao huko (Blowing Money Fast).

Hao nao walikuja kugundua baadaye kuwa aliyekuwa akiwapa mzigo na kuwatonya wajiandae na msako wa Police alikuwa ni jamaa wa CIA. CIA hawa jamaa badala ya kulinda wananchi, walihakikisha magereza yanajaa na hasa watu weusi kwa kuwapa kila aina ya madawa ili walewe na wafanye ujinga uliowatia kirahisi magerezani. Magereza USA ambayo ni Private yalikuwa na mkataba na serikali kuwa ni lazima yawe yamejaa. MTV nayo ikaja kunogeza tu wajinga hao.

Kuna Video ya Real Rick Ross akilalamika alivyotumiwa na CIA kuwa-CRACK watu weusi wa USA. Kwa ufupi hizi biashara ilikuwa huwezi kuzifanya bila idhini ya WAKUBWA. Kwamba USA huwa wanapenda kujiumiza wenyewe time to time ni kuangalia jinsi walivyoanzisha Al Qaida na ISIS ambayo sasa wanatumia fedha nyingi ili kuitekekeza.

zbigniew%2Bbrzezinski%2Bwith%2BOsama%2Bbin%2BLaden.jpg

Nashukuru sana Mkuu! I will look into that..
 
Back
Top Bottom