cognition
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 1,287
- 1,391
The two escoba,kuna mchezaji naye alikuwa anaitwa andre escoba alikuwa kipenzi cha pablo,aliuwawa na kile kikundi cha two brothers (PEPE),chanzo cha kifo chake ni kujifunga goli kwenye mechi ya world cup USA,pesa za cocaine ziliinua mpira sana colombia ,yaani timu ya taifa ilifikia hadi Nafasi 5 kwenye rank ya dunia,pablo alipofungwa alikuwa anawaita timu ya taifa inaenda kumtembelea,wanacheza na mpira ila kwa siri,kuna documentary niliiona jana kwenye channel ya sport (ESPN) inaitwa ’’ The two escobar"