Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

43c7ff63aa2a461bf925164a88d48d4d.jpg

imenibidi tu niingie google.
 
The bold nipo likizo fupi imenipa nafasi ya kuweza kusoma. Pablo pamoja na uhalifu wake bado alipendwa na watu mbalimbali. Kauli mbiu fedha au silaha kuna watu wameumbwa tofauti toka tumboni
 
The bold nipo likizo fupi imenipa nafasi ya kuweza kusoma. Pablo pamoja na uhalifu wake bado alipendwa na watu mbalimbali. Kauli mbiu fedha au silaha kuna watu wameumbwa tofauti toka tumboni
Kabisa! Kuna watu ni wa kipekee sana duniani.. Huyu Pablo mpaka leo watu wana muhusudu kupindukia..
 
Mkuu bado hujaleta mzigo mwingine wa kufungia mwaka..achana wa juzjuz wa iran??
 
Jina pablo...nimeliskia sana nikiwa kijana mdogo miaka ila ya 90s....asante sana kwa simulizi mwanana sana....! Mie nahisi huyu pia ni masihi ila kwa upande wa pili wa imani za kidini...yaan kwakweli si mtu wa kawaida kabsaa!
 
Back
Top Bottom