Plate number za Kenya zinafanya gari kali zionekane mbaya


To me hii design ndio the best, hapa Bongo gari za wasiojulikana wanapenda kuzitumia.
 
Watanzania tunapenda sana kufatilia vitu visivyo na Impact yeyote..

Ila tukiambiwa kuna wizi wa Matrilioni hazina hamna anayejali..
unatuambia sisi? mbona tunajadili kila sekundi huko JLS? au ulitakaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…