msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
kaka uikute hio kwenye VW Golf au kwenye Amarok ni balaa..
Hiz ndo plate,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiz ndo plate,
Kwao wanaona superGari kali lakini plate number mbaya...Wakenya hebu badilikeni bhana. Plate number kama zimechorwa na mkaa!!
View attachment 2205139
View attachment 2205140
Hii ramani haijakamilika mbona za nchini Zanzibar sizioni. Si nchi ile!?
inategemea unataka kuzungumzia kipi kati ya number na plate (subject vs object). Mleta mada anazungumzia numberPlate number or Number plate?
Kiingereza chenye matege!inategemea unataka kuzungumzia kipi kati ya number na plate (subject vs object). Mleta mada anazungumzia number