Gharama za Hotel analipa mwenyeji ambaye ni Simba Sport ClubWameshatolewa sasa kwanini wapoteze gharama za hotel ?
Ili nao wawahi ilikua eidha wachukue private airplane au waondoke siku moja na simba kama walivyofanya simba! Hamna cha kujiamini ni jiografia tu imesababisha. Na leo wataingia wakiwa na fatique maana njia waliyopita simba kurudi tz ndio waliopita wao! Namaanisha idadi ya transit point na sleepover!Najaribu kujioji na kutafakali kwa kina sipati majibu
Hivi plateau wanajiamini Nini kuja siku moja kabla ya mechi na simba ambayo kuifunga kwa mkapa Hadi ufanye kazi nzito
*Wamekata tamaaa
*Ni mbinu ya kivita
*Waliamini kwamba nao watafanyiwa figisu Kama walivyowafanyia simba
Nini maoni yako
Gharama za Hotel analipa mwenyeji ambaye ni Simba Sport Club