Plateau wanajiamini nini?

Plateau wanajiamini nini?

karue

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
203
Reaction score
435
Najaribu kujihoji na kutafakali kwa kina sipati majibu
Hivi plateau wanajiamini Nini kuja siku moja kabla ya mechi na simba ambayo kuifunga kwa mkapa Hadi ufanye kazi nzito

*Wamekata tamaaa
*Ni mbinu ya kivita
*Waliamini kwamba nao watafanyiwa figisu kama walivyowafanyia simba

Nini maoni yako
 
Hawana sababu ya kuwahi kwakua haliya hewa ya kwao na apa unapofanyika mchezo ni sawa.
 
Dk 90
IMG-20201205-WA0010.jpg
 
Najaribu kujioji na kutafakali kwa kina sipati majibu
Hivi plateau wanajiamini Nini kuja siku moja kabla ya mechi na simba ambayo kuifunga kwa mkapa Hadi ufanye kazi nzito

*Wamekata tamaaa
*Ni mbinu ya kivita
*Waliamini kwamba nao watafanyiwa figisu Kama walivyowafanyia simba

Nini maoni yako
Ili nao wawahi ilikua eidha wachukue private airplane au waondoke siku moja na simba kama walivyofanya simba! Hamna cha kujiamini ni jiografia tu imesababisha. Na leo wataingia wakiwa na fatique maana njia waliyopita simba kurudi tz ndio waliopita wao! Namaanisha idadi ya transit point na sleepover!
 
Simba anasafiri Jumanne mechi ya Jumapili!

Tena wakati huu ambapo usafiri unaotumika ni wa anga!

Ni matumizi mabaya ya muda.
 
Simba tusiingie na matokeo uwanjani...football is a very dangerous game haswa kwenye matokeo yake...nadhani mnakumbuka tulichowafanya As vita nadhani mpaka leo wanaweweseka usingizini kuhusu lile goli la Chama...tuwe na tahadhali.
 
Back
Top Bottom