Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

Platform ya kuuza na kununua muziki wasafidotcom tayari kwa matumizi

Unazunguka alafu unarudi pale pale nilipoanzia.Yaani Universal wakubali kumlipia mtu bilioni 2 alafu wamuache kirahisi rahisi aendelee kuingiza hela kwenye kitu ambacho wao wamekilipia?!

East Africa ndio soko kuu la Diamond unadhani Universal wasipopata faida huku watauza wapi tena kazi za Dimond kwa faida?!

Alisema kuwa kazi za Wcb zitasambazwa na Universal music au hakusema?!

Hakusema kuwa walilipwa bilioni mbili kwa ajili hiyo au hakusema?!

Unakumbuka kuwa Marry you ilivyotoka ilisambazwa vipi?!

Nini kilichobadilika sasa hivi?!
Kojoa ukalale.. useless arguments
 
17125550_109921856172622_3452987052662980608_n.jpg
 
Mzaramo Chige amekuuliza swali!mbona Alikiba yuko Sony lakini nyimbo zake zinapatikana Mkito na mzikii na kwingineko?!
 
Wewe jamaa kweli mbumbumbu , universal music wanasimamia Kazi za diamond kwenye platform kubwa zaidi duniani
Ndo maana unaona vituo vikubwa duniani vinacheza nyimbo ya marry you ,
Mtv Denmark, Holland, UK ,Finland, Greece , Spain kote wanacheza marry you ya diamond sio kwa bahati mbaya hii no Kazi universal music,
Wasafi no platform kama ilivyo spotify au mkito,au mziiki.
Wasanii wa wasafi sasahivi baada ya kutumia mkito watakuwa wanatia Wasafi music

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa kuna siku nilimwambia hata kama amefunga nadhiri ya kuwa hater basi angalau awe anatumia akili kidogo ili awe anaponda vitu kwa kutumia akili... lakini wapi!!!

Kuna siku nilimpa changamoto akae akifuatilia number ya subscribers kwenye a/c mpya ya Diamond ndipo atafahamu who's Diamond!!!

Hadi hapa naandika, tayari Diamond ana subscribers +39K wakati Kiba ndo kwanza anatafuta subscribers 8K huku wakiwa wameachana wiki 2 tangu waanze kutumia new accounts!
 
N short 1milion dollar ta kwa universal n kubwa hawawez kkupa afu wasikamue assert yao tena kwenye potential market unless aweke wazi kuwa hiyo site siyo yake bal n ya universal wemeweka ilkuanza kurudisha 2.2b na kutumia jina kupata wasanii wengine wa kunufaika na soko la east africa ambayo ndo the main cover
Ukienda Mkito; unaikuta Aje ya Ali Kiba!! Je, Mkito ni ya Sony ile?! Ukienda Spotify kuna kazi kibao kutoka Label ya Universal; unataka kutuambia Spotify ni ya Universal ile?!

Hivi nyie watu mmewahi kufanya angalau biashara ya pipi au huwa mnaongea tu?!

By the way, ulikusudia kusema nini hasa hapo ulipoandika "...afu wasikamue assert yao...!"
 
Huyu jamaa wa kuitwa mzaramo buana.Ushabiki utamponza bure aonekane bashite mbele ya watu!.
 
Huyo jamaa kuna siku nilimwambia hata kama amefunga nadhiri ya kuwa hater basi angalau awe anatumia akili kidogo ili awe anaponda vitu kwa kutumia akili... lakini wapi!!!

Kuna siku nilimpa changamoto akae akifuatilia number ya subscribers kwenye a/c mpya ya Diamond ndipo atafahamu who's Diamond!!!

Hadi hapa naandika, tayari Diamond ana subscribers +39K wakati Kiba ndo kwanza anatafuta subscribers 8K huku wakiwa wameachana wiki 2 tangu waanze kutumia new accounts!

Duuh [emoji38][emoji38][emoji1] mkuu naona unatumia nguvu nyingi sana kumtetea diamond na kujivika kivuli cha usemaji wa wcb ila kama ungekutumia nguvu kama hizi katika kuimarisha hali ya uchumi wako ungekuwa level zingine sasa.
 
Mkito dot com
Mdundo dot com
Mziiki dot com
Hawa wote walishindwa hii biashara eeh?
Haya, ngoja tuione na wasafi dot com itakuja vipi nayo.
 
Sasa wewe ndo unaongea madubwasha gani hapa... au umepotea jukwaa!! Au ulitaka usemewe wewe wakati you have nothing cha kusemewa?! By the way, unafahamu level ya uchumi wangu wewe; au unaropoka tu?!
 
Mkito dot com
Mdundo dot com
Mziiki dot com
Hawa wote walishindwa hii biashara eeh?
Haya, ngoja tuione na wasafi dot com itakuja vipi nayo.
Issue sio kushindwa bali unaangalia weakness ya competitor kisha unaitumia kuwa strength yako!!

Sasa kama kupitia wasafi.com msanii anakuwa na dashboard ya kuangalia number of downloads; kwanini msanii asichague aende platform nyingine ambako ataishia kulipwa tu bila kuwa na uhakika ikiwa anacholipwa ndicho hasa kilitokana na downloading zilizofanyika!!
 
hapa yatakikana mawazo kama haya. Ikiwatu kwa kiwango cha chini huyu ndugu akapata wanunuzi Ml 1 East Afrika wakanunua Hizo kazi kwa siki 1 Je! Kwa Mwezi Atatengeneza Shilingi Ngapi?

Huyu kijana kapanuka sasa fikra Anafikiria kama Sisi wafanyabiashara tunavyofikiri.

Unaangalia kilometa 100 juu ya kutengeneza fedha hakika huyu kijana akiendelea hivi Atafika mbali sana.

Maana hata wasanii wa filamu na hakika watajiunga nae maana mtaani wanaibiwa sana.
 
Tatzo website yake haijakaa poa inahitaji marekebisho kabisa maana watu tunajaribu kununua but inazngua
 
Back
Top Bottom