Platnum Member K Matata....

Iyo cheo sijui inarubu rubu maana mtu kafurahi kupitiliza. hongera sana mkuu
 
mwanamke akiwa umri umeenda halafu akawa na stress ...hatari sana......
 
Iyo cheo sijui inarubu rubu maana mtu kafurahi kupitiliza. hongera sana mkuu


Aahahahhahajaaa Huska,asantee acha tuu nifurahi na kufurahi maana nna furaha tele mwilini na moyoni eehehehehhee

Utamu wa Platnum nausikilizia tuu halafu naishia kutabasamu na kutoa cheko kuubwaaa.

Matata K.
 
HONGERA SANA
Binafsi kabla ya jana nilikua na Troph point M500, like zilikua 460+ post zilikua 980+ nilipofikisha post 1000 nikazawadiwa bonus ya Troph 500
Nilipofikisha likes 500 nikazawadiwa Troph 1000 kwa hiyo, sasa nina Troph Point 2000
Nitumie fursa hii kuushukuru uongozi wa JF kwani hivi vitu vinaleta changamoto na kuonesha kujali Maxence Melo
 


Aikambeee...
 
Me sijui izi level zinatolewa kwa vigezo vp, ila nilipopata expert member nilifurahi japo naona sipo tofauti na watu wengine, nilivo soma thread hii haraka sana nika mtafuta mshana jr nikashangaa ni expert member nawengine watu maharufu hapa JF nikaona nao ni kama mm japokuwa wao wanamchango mkubwa sana hapa JF kuliko mimi.
 
Mimi nimesababisha nini? Your midlife crisis?

Aahahahaahahahahaaaa unajua nini, nilivokuita nilitaka utamke hilo jina midlifu krasis aahahahahhaaaaa
Nilijikuta natamka hivohivo nilivyoandika na kujicheka mwenyewe eehehehehehheee

Mabungo yangu na sanvita viko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…