Kifupi kwa msaada kwa wale ambao hawakusoma
sehemu ya 10 ni kwamba jeff kamkataa michelle
sura mbaya, then akampokea helleiner
wakaelekea beach, walipofika beach wakaogelea
vizuri ila nguo waliziweka pembeni, kitendo cha
kumaliza kuogelea wanakuta nguo zimepotea kwenye mazingira yakutatanisha. na kwa mbaali
jeff alimshuhudia kama michelle sura mbaya
anakimbia nazo lakini alipokuwa anamkimbilia
ghafla..
utakuwa kidogo umenielewa... sasa endelea na 11
'
Nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa fulani
huku tukiwa hatujielewi elewi kwa kilichotutokea
muda c mrefu..,
"jeff.. ona sasa yote umeyataka wewe...?"
"...helleiner tuache kulaumiana huu si wakati
wake.." Kiukweli helleiner alikuwa akilia sana tena kwa
sauti ya juu huku kwikwi ikimbana, mara akatokea
mshikaji mmoja tena alikuwa anaonesha ana
haraka ya hali ya juu..,
"...samahanini jamani,tena nawaombeni radhi..,
nilikuwa mbali na hapa.." "...oyaa samahani yanini tena mwana...?"
"...mimi ni muhusika katika eneo hli la beach..."
Kabla hajamalizia kuongea nikamwahi hapo hapo
na swali..,
"kwa hiyo nguo zetu zipo wapi...?"
"...nilizichukuwa na nikazifungia mule ndani ila msijali viko salama tu..."
Tuliongozana naye mpaka eneo alilohifadhi nguo
zetu.., yani hatukuweza kuamini kabisa kwani vitu
vyote tulivikuta hivyo tukavaa fasta fasta,
"...jef nakupenda sana...!"
"..hata mi nakupenda helleiner pliz tudumishe penzi letu..."
"..kwahilo tu usijali mpenzi jeff kuanzia sasa
utafuahi tena sana tu.."
Nilifurahi kimoyo moyo huku nikijipa uhakika sasa
tayari namiliki kifaa na tena kifaa chenyewe ni
mtoto helleiner. "...beiby sasa hivi ni kama saa 12 hivi so tunaelekea
home kwetu au...?"
"..hapana jeff nimechelewa sana nyumbani,lakini
usijali tutakwenda siku nyingine mpenzi..."
"...aaah helleiner japo mara moja upajue tu then mi
ntakusindikiza mpaka kwenu nipajue vizuri..." "jeff kwa kung'ang'ania tu..? Haya twende.."
Mzee mzima nikawa nimeshajiwekea uhakika
tukishafika tu itakuwa kosa kubwa kumwacha nisi
sex naye,nikajisachi ufunguo huku na kule mara
eeh siuoni, akili ikaanza kunichemka kila nikijisachi
mifukoni sioni kitu ikanibidi niulizie kwa yule mtu aliyetuhifadhia nguo zetu,
"...oyaa mwana nilikuwa nimeweka funguo
kwenye suruali mbona siuoni..?"
"funguo...? Embu jisachi vizuri bhana..!"
Nilijicheki tena lakini sikuuona,
"aaah powa nimekumbuka ninao wa ziada nyumbani.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikimshika mkono
helleiner wangu nakuondoka naye,nilipofika mbali
kidogo yule jamaa aliniita,
"..oyaa mwana samahani tena nakuomba mara
moja sorry sana.." Ikanibidi nimsikilize,
"..mwana sorry, alikuja demu wako hapa akadai
kuwa anaitwa michelle mwavua na akasema nimpe
tu ufunguo atangulie nyumbani mtamkuta nyie
niwaache muendelee kuogelea tu...!"
"unasemaje...? Whaaaaat...? Embu huyo demu alivaaje...?"
"Suruali ya kitambaa nyeusi na tisheti nyeupe.."
Dah nilivyoelekezwa ni vile vile alivyokuwa leo
mchana, lakini nani atakuwa amemwambia nina
ufunguo na hata getto kwa mshikaji amepajuaje..?
Nilijiuliza sana bila kupata majibu kiukweli michelle sura mbaya alikuwa ameshaharibu siku yangu,
"...aaaahh lakini mi ndo jeff ryder bhana na ole
wake nimkute huko nitamuharibu sura yake mara
mbili alivyo pale...?"
Niliongea peke yangu chini chini huku nikimfuata
helleiner na kuondoka naye mpaka magomeni getto kwa mshikaji.. ~ Ndani ya Nusu Saa ~ Tulikuwa tayari tumeshaingia ndani ya magomeni
mapipa huku breki ya kwanza getto kwa mshkaji
na kwa bahati nzuri nikamkuta yupo nje kwenye
kiduka,
Aliponiona na helleiner tu akanivuta kwa pembeni
na kuninong'oneza kitu. "..oyaa jeff kuna demu wako mwingine amekuja
yupo chumbani amesema anakusubiri umekwenda
beach na umemwachia ufunguo atangulie..."
"umesema...?"
"ndo hivyo mwana.."
Nilijihisi kuchanganyikiwa..,nilimwacha helleiner pale nje na mshikaji huku nikiingia ndani
nakumdanganya helleiner,
"baby wacha niingie ndani niwashe taa then
nitakuita si unajua naishi alone brother angu
ninayeishi naye bado yupo kikazi south africa.."
"kwani funguo ulizipata...?" "usijali nilikuwa nazo za akiba.."
Nilimdanganya nakuingia ndani huku nikimwacha
na mshikaji wangu pale nje, nilifungua mlango
vizuri tu kwani haukuwa umefungwa moja kwa
moja mpaka chumbani na nilipofika tu nikawasha
taa nakumshuhudia michelle sura mbaya akiwa uchi kama alivyozaliwa huku akionesha kupitiwa
na usingizi..,
"we michelle...? Unafanya nini hapa embu ondoka,
tena toka kabla sijakutoa uchi humu ndani..."
"...jamani jeff embu punguza hasira mpenzi mbona
hivyo..." "nani mpenzi wako..?, mshenzi nini we.., kwanza mi
ni hadhi yako enhe..? Si naongea na wewe enhe..?"
Nilikuwa na hasira kali lakini michelle sura mbaya
hakuonesha kukasirishwa kwangu,akasimama
nakunikumbatia huku chuchu zake zikichoma
kifua changu, "...niache michelle nimesema niaaaaache..!"
"..jeff.., jeff nakupenda sana mpenzi wangu..."
Kusema hivyo tu kidume mimi nikaanza kulegea
hivyo nikajikuta namkumbatia kisha michelle sura
mbaya akanivua nguo zangu,
Nilimparamia huku akilini nikijiwekea picha fulani kama vile na sex na Jlo au beyonce..,
Nili sex naye kwa nguvu zote bila kuchoka mpaka
nikamaliza bao la kwanza nikamlalia hapo hapo
kifuani mwake nikihema juu juu.., japokuwa ni
mbaya wa sura na umbo lakini alikuwa na matiti
mazurii na anajua kusex mbayaa nadhani atakuwa alifundwa maana hivyo viuno vyake duh..
Tukiwa bado tunasex mara nikasikia sauti,
"..we jeff..? jeff..? leo tu umeshanisaliti..?"
Maskini ilikuwa ni sauti ya helleiner tena ikitokea
dirishani kwani alikuwa anatuchungulia na dirisha
lilikuwa halijashushwa pazia na mbaya zaidi taa ya chumbani nilivyoiwasha nilipoingia tu,
"..helleiner nooou..! Usiondoke pliz.."
"jeff sitaki tena kukuona hata kukusikia kuanzia
sasa.. Utaniua jeff..! Magonjwa mengi jeff..! Kaa na
huyo huyo mi kwangu sikutaki teena..!"
Nilijikuta natoka uchi mpaka nje bila kujali chochote na kabla sijafika nje niliwahiwa na
michelle sura mbaya,
"...achana naye twende zetu chumbani
tukaendelee jeff mpenzi.."
Nilijikuta namchapa bonge la kibao michelle sura
mbaya, kwakweli alikuwa amekomaa kweli hakusikia chochote zaidi ya kuendelea kunivuta
kuelekea chumbani...
"..michelle noou..! nimesema noou..! sikutaki
tokaaa.."
Hakusikia chochote zaidi ya kunipa mdomo wake
niunyonye...
§ § § Inaendelea....