Play Boy (The Jeff Rider)

Play Boy (The Jeff Rider)

Nasikitika kwamba sehemu ya 10 siioni,
nimejitahidi kuitafuta toka asubuhi katika laptop
yangu lakini zinaonekana nyingine zote kasoro ya
10.. nawaombeni sana radhi tuendelee na ya 11
nakuendelea..
Michelle sura mbaya[emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hii ndoto kiboko aisee Stunter shukran sana
 
"...sikiliza helleiner kwani chakula tayari...?"
"...jeff we twende sa hivi then hatukai sana jamani
tunarudi kula na hawa wenzangu..."
Helleiner alikuwa amelegea sana kuanzia macho
yake mpaka viungo vyake vyote vilionesha
kumlegea sana.. "ok.., but nielekeze kwanza chooni ni wapi
nikajisaidie then tunaenda huko chumbani..."
"...haya pita kwenye haka kakorido then mlango
wa pili kushoto fungua ndio hapo hapo chooni..."
Niliondoka na kuingia chooni,nilifungua mlango na
nilipoingia tu chooni, "...Sshhhh..! kimya wala usipige kelele zozote jeff..."
Alikuwa ni michelle sura mbaya nadhani alinisikia
nilipokuwa naulizia chooni hivyo akawa
ameniwahi kuingia nakujificha..,
"jeff..? mwili wote ni wako huu hapa chukuwa..."
Aliongea kwa sauti ya chini chini na yakimahaba huku akitanua mapaja yake akiwa amekalia choo
cha kukaa..
"..noo.., noo.. michelle, leo sina mzuka kabisa wa
ku sex..."
"...unasemaje jeff...?, Nitapiga kelele sasa hivi
niseme unanibaka.., unabisha...? Unabisha...?" "noo.., noo.., usifanye hivyo..!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuvua suruali yangu na
kuanza ku sex na michelle sura mbaya huku
akifurahia na kutoa sauti ya mahaba taaratibu..
"..jeff..! jeff..! tuendelee pliz naskia utamu sana, we
unajua ku..." "...nou michelle siku nyingine nitakupa zaidi ya
hapa wacha nitoke watatushtukia..."
"..hawawezi bwana nipe tena jeff pliz..!"
"nimesema nou...?"
"..nitapiga kelele..?"
"..piga tu hapa mimi si sex tena..! kwanza nimechoka.."
"unasemaje jeff...?"
"..nimechoka sitaki ku sex...? Sitaki..! usikii enh...?"
"..jeff...? Embu ingiza ihyo nanii yako hapa
kwangu..?"
"..sitaki..!" "jeff 1..? jeff 2...? Je..."
"...haya.., haya basi chukuwa, utaniwi na wewe
ehh..!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya ku sex tena kwa mara ya
pili na michelle sura mbaya hivyo hivyo tena bila ya
hata kutumia condom. Nikiwa bado katikati ya sex mara hodi ikapigwa
kwa nje..,
"jeff..? jeff..? bado hujamaliza kujisaidia tu mpenzi
wangu...?"
Ilikuwa ni sauti ya helleiner akiníita, haraka haraka
nikachomoa nakutaka kuvaa nguo zangu ili nitoke ile navaa tu mara nikavuliwa hapo hapo na
michelle sura mbaya..,
"..jeff unaenda wapi...?"
Aliongea michelle sura mbaya kwa sauti ya
chinichini..
"hujaskia hodi.., helleiner huyo ananihitaji..." "Hamna kwenda embu endelea huko...!"
"noo..! noo siwezi...!"
"N i i i i i i i i n i ...? Sasa utanijua vizuri leo mi ni
nani..?"
"..inamaana hujaridhika tu jamani..?"
"ndio sijaridhika na wewe jeff.., unajua sana ku sex ndio maana siridhiki..!"
Niliona kama ananizingua kama nitaendelea
kupiga naye stori..,
"..aaahh..! liwalo na liwe.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikizivaa nguo
zangu nikimwacha michelle sura mbaya akinikodolea mijicho yake kwa hasira ya hali ya
juu...
"...Oooh sorry helleiner wangu nilibanwa na tumbo
la kuhara...!"
"...pole sana jeff wangu, na mi mwenyewe nilitaka
kushangaa chooni muda wote huo..? Pole sana mpenzi wangu..."
"..thanx u baby.."
"embu ngoja nikimbie hapo nje kwetu mbele
kidoogo kuna duka la dawa wacha nikufuatie,
kwani tumbo linakuuma sana..?"
"yeah siyo sana.." "ok.., pumzika kidogo hapo sebuleni wacha
nikakununulie 'flagile' unywe mpenzi wangu.."
"ok..."
Helleiner alichomoka fasta fasta nakuelekea nje
kunitafutia dawa bila kujua kwamba
nimemdanganya, na alipotoka tu nilisikia kama mtu anaoga bafuni hivyo akili yangu moja kwa moja
ikanituma kuwa atakuwa ni michelle sura mbaya
ndio anaoga tu, nilichokifanya mnyamwezi
nikatafuta mlango wa jikoni mpaka nikaujua
nakuingia..,
"..hellow dada yake helleiner..?" "..yap jeff.., helleiner yupo wapi...?"
"..kaenda dukani nje uko...!"
Nilipomwambia tu hivyo bila ya kuchelewa akau
lock ule mlango wa jiköni fasta nakunivulia ile
kanga moja yake kisha..,
"...haya jeff kama nilivyokuambia am so hot.., uwanja wako sasa jimwage..."
Nilibaki nimeduwaa kwani kiukweli michelle sura
mbaya alishanichokesha,sikutaka kuonekana mi si
rijali pale pale nikavua suruali yangu kisha
nikaanza kumnyonya dada yake helleiner kuanzia
kwenye matiti yake kupitia kitovuni mpaka kwenye nanii yake huku nikimwacha amelegea
vibaya mno..,
"...jeff kumbe we mtundu kiasi hicho, uuhh..!
Uuhh..! uuhh..! jeff..! jeff..!"
Nilichukuwa vidole vyangu nakumdumbukizia
kwa kumtekenya kwenye nanii yake huku nikivuta hisia ya hali ya juu..,
"...jeff..? ingiza basi..!, ingiza...!"
"...noo.., noo.., sina condom....!"
"Ooh shit...! whaaat..? whaaat jeff...?"
"...i don't have any condom here..."
"...just dry jeff..! pliz..!" "..dry...? Nou..! nou..! nou..!"
"..jeff..? jeff pliz..!"
Tukiwa bado tunazozana na dada yake helleiner
pale chini mara tukasikia sauti ya helleiner akija.
"..jeff wangu..? Jeff my love upo wapi...?"
"yupo chooni..." Nilisikia sauti ya michelle sura mbaya akimjibu kwa
sauti ya mbaali..,
Hapo hapo nikamvaa dada yake helleiner hivyo
hivyo kavu kavu bila ya kutumia condom huku
akifurahia mapenzi yangu haswa na nilipomaliza
cha kwanza tu.., "...jeff..?, one more pliz....!"
"..noo noo enough alwayz iz enough let us do
another day...!"
"..whaat jeff.., nahitaji sasa hivi tena..."
"..siku nyingine bwana tena nitakupa zaidi ya
hapa.." "..sitaki nataka sa hivi..?"
"...si umemsikia helleiner ananiulizia...?"
"...sasa ukikataa mi ntamwita aje ashuhudie hapa
mi nawewe tunachokifanya sasa hivi..."
"...nou nou usifanye hvyo pliz..."
"...haya tuendelee..!" Kidume cha mbegu sikuwa na jinsi zaidi ya
kumfanyia tena mautundu huku nikimpagawisha
vya kutosha zaidi ya alivyokuwa anataka.
Tukiwa katikati ya dimbwi la mapenzi mara kwa
mbaali tukasikia sauti ya helleiner akiongea tena na
michelle sura mbaya.., "..mböna nimemwangalia tena huku chooni
uliposema yupo hayupo enh...?"
"...kweli dada aliaga anaenda chooni we muangalie
vizuri tu...!"
"...inamaana mi chizi niliyeingia chooni nakuona
hamna kitu enhe...?" "...basi tufanye mi sijui alipoenda.."
"...na dada yuko wapi...?"
"..dada bado yuko jikoni anapika..."
"...ngoja nikamuulize huko huko jeff alipo labda
anajua..."
Nilianza kutetemeka huku nisielewe nitafanyaje kuepuka soo pale..,
"...ufunguo wakutokea mlango wa huku nyuma
upo wapi...?"
"...upo sebuleni juu ya kabati..."
"Ooh my God...!!! tumekwisha tutafanyaje sasa...?"
"..Mmh mwenyewe sina ujanja jeff wacha atufumanie tu tena sivai nguo yeyote hapa..."
"unasemaje...?"
"...wacha atu.. fuma.. nie.. tu...!!!"
Hodi ikaanza kupigwa kwanguvu zote huku
nikisikia sauti ya helleiner ikilalamika kwa hasira ya
hali ya juu.., "...jeff..? jeff..?, dada..? dada...? Fungua..!!"
Sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda mpaka mlangoni
kwa lengo la kuufungua mlango huku nikimwacha
dada yake helleiner akiwa amelala hoi pale chini
tena akiwa amejifunika kanga moja tu, na
nilipofungua tu kitasa mara nik....
.
Mmh!! Hayo mapenzi au mashindano!?
 
ila watu mnaoquote story nzima msifanye hivyo jamaan watu tunatumia simu hivi ukishafanya hivyo unajiskiaje
 
ilipoishia... ...we si umeua huko Dar unajifanya hujui enh..?" endelea... Nilianza kuhisi mkojo unanitiririka ndani ya suruali
yangu huku mishipa ikinitawala kwenye paji langu
la uso ikiambatana na kajasho chembamba
ambacho kalikuwa kakinitiririka shingoni kupitia
makwapani mpaka kifuani kwangu..
"..Irene mie sijauwa mbona..? na Jacky ni mchumba wangu na hata wazazi wake wanajua, hawezi
kufanya hivyo unavyoniambia.."
Nilijitahidi kujitetea huku nikijikaza nisionekane
kweli nimeshawahi kuua, lakini Irene alionekana
kucheka tu kila nilipojitetea.
Mara hodi ikapigwa pale kwa Irene, mapigo ya moyo ndo yakazidi kwenda kasi kabisa.
"..nimekwisha Jeff mie, nimekwisha..?"
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikikata kabisa
hamu ya kuendelea kuishi.
Irene alienda hadi mlangoni kufungua mlango
nakuniacha nikiendelea kutetemeka mwili huku meno yakichukua nafasi yake kwa kuumana mithili
ya mtu aliyemwagiwa maji ya barafu.
"..karibu, nikusaidie nini.?"
Ilikuwa ni sauti ya Irene. akiongea na huyo mtu
ambaye hata sikumfahamu wala kumuona
kwakuwa walikuwa wakiongea nje na mimi nipo kwa ndani.
"..Nauza, matunda na mboga za majani dada.."
Nilishusha pumzi chini baada ya kugundua kuwa
hakuwa mtu mwenye kuniletea madhara bali ni
muuza mboga na matunda tu.
Nilichokifanya nilikimbia mpaka chumbani kwa Irene na breki ya kwanza nikuchukuwa kipochi
chake anachowekeaga pesa kisha nikafungua
mlango wa jikoni nakutoroka zangu huku akili
ikiwa ni moja tu ya kumpata mchumba wangu
Jacky..
Ilinichukuwa kama dakika ishirini mpaka stendi ya mabasi yaendayo mkoani 'msamvu'.
Nilikata tiketi ya kuelekea Dar ile naingia tu kwenye
basi nikashangaa nashikwa begani, mapigo ya
moyo yakanibadilika ghafla lakini sikuonesha
kukata tamaa kwani nilijigeuza taratibu huku
nikiyakaza macho yangu. "..unasemaje..?"
Maskini kumbe alikuwa ni mchumba wangu Jacky,
alikuwa kavimba uso kweli nadhani ilitokana
nakulia sana.
"..Jacky, unafanyaje hapa..?"
"..ni bora hata nimekuona, hapa nilipo nimechanganyikiwa Jeff, na hii yote kwa sababu
yako, nilikuwa nirudi Dar kwetu nahapa
unaponiona nimepoteza nauli sina hata senti tano
na hii yote kutokana nakuchanganyikiwa.."
Taaratibu machozi yangu yalianza kunitoka
yalioambatana na huzuni. Nilitoa hela nyingine nakumkatia tiketi kisha
tukaingia ndani ya gari tukisubiri gari ijaze ili
tuondoke.
Tukiwa bado ndani ya gari huku Jacky wangu
akinipa story kuhusiana na Irene,mara tukamuona
huyo huyo Irene akiongozana na wavulana kama watatu hivi huku akija mpaka kwenye basi
tulilokuwa tumepanda mie na Jacky wangu.
"..Jacky? Jacky wangu tumekwisha? tumekwisha
Jacky? embu muangalie Irene huyo hapo kwa nje
anakuja.."
Pale pale Jacky wangu akadondoka nakupoteza fahamu nakuniacha mwili umelegea, nilitamani
nimbebe nakukimbia naye lakini ikawa ndo
nimeshachelewa tena, hivyo Irene aliingia ndani ya
basi na wale vijana wakanifunga pingu kisha
wakamfunga pingu na Jacky wangu japokuwa
alikuwa ameshapoteza fahamu.. ***** "... Jeff? we Jeff? embu hamka uko usingizi gani
mpaka sasa saa tano za asubuhi..?"
"...aaah Mama..? umenikatisha ndoto niliokuwa
naota bwana..?"
"..Jeff mwanangu lini utakuwa wewe? yani ndio
kwanza unamiaka 16 embu nenda huko ukajiandae uende kanisani hujui kama leo
jumapili.."
Nilijichekea peke yangu kwa ndoto ile nilioiota kwa
usiku, kwani ilikuwa ndefu na iliyonikutanisha na
wasichana wengi.
"..Mungu ninusuru na ndoto mbaya hizi..?" Nilipiga goti nikasali kisha nikaenda kujiandaa kwa
kuelekea kanisani. ~ Mwisho wa Play boy ~ mwisho wa story hii ni mwanzo wa story nyingine.. Chombeza ifuatayo baada ya hii ni, ~ Play gal - 01
[emoji35] [emoji35] [emoji35] yaani mi nasahau hadi kula kumbe nafuatilia ndoto[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] sa ungethema tangu mwanzo tu kuwa unaota[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom