Kwanini hapana ?Hapana aisee!
Ni kama gospel hiiKwanini hapana ?
Huwezi nyanduana huku wasikiliza Gospel?Ni kama gospel hii
Siwezi jamani, hii dhambi siitaki😅Huwezi nyanduana huku wasikiliza Gospel?
😅😅😅.. Aisee unaweka kama hii mnazidisha kasi ya mtanange.. sex ni ibada kama ibada lazima kuwe na song kama hiziSiwezi jamani, hii dhambi siitaki😅
Amesema wakurungwa. Hivi wewe ni mkurungwa?Nywinywinyi by samuya
Ni ibada lakini nyimbo hazihusiani na hii ibada sasa🥹😅😅😅.. Aisee unaweka kama hii mnazidisha kasi ya mtanange.. sex ni ibada kama ibada lazima kuwe na song kama hizi
View attachment 3491726
😅😅 naomba hizo chapati zilizo ungua basi. You have done me well - SolomNi ibada lakini nyimbo hazihusiani na hii ibada sasa🥹
Nyimbo nzuri jmn mpk nimeunguza chapati😫 inaitwaje?
Sawa nikufungie ngapi? Na maharage au chai😁😅😅 naomba hizo chapati zilizo ungua basi. You have done me well - Solom
😅😅 hapo vyote, maharage, chai na chapati nne tu .Sawa nikufungie ngapi? Na maharage au chai😁
Thanks kwa wimbow
Afu mi nile nini😟 machapati yote haya una ujenzi tumboni😳😅😅 hapo vyote, maharage, chai na chapati nne tu .
Utakula ambazo hazijaungua.. 😅😅Afu mi nile nini😟 machapati yote haya una ujenzi tumboni😳
Sa si ule ugali wa dona jmn! Na hapa uwaza kuvunja amri ya6 tena kwa kutumia gospel.. energy ya Mo29 haitakiwi kuanguka hivi yatakukuta ya samsoni na delilah😁Utakula ambazo hazijaungua.. 😅😅
Najiandaa na MO29.. niwe na energy ya kutosha
😅😅 Dona ndio nimeamka nalo, tena la kisamvu cha chuku chuku, na kambare ndevu, hapa nakunywa maji tu, ungeniongezea na hizo chapati inakuwa penyewe.. sema uje ujaribu gospel wakati una do, utaona raha yake. Tena weka ule wa Rose Muhando, wa Yesu ni bebe nikumbatiw nibebeeeSa si ule ugali wa dona jmn! Na hapa uwaza kuvunja amri ya6 tena kwa kutumia gospel.. energy ya Mo29 haitakiwi kuanguka hivi yatakukuta ya samsoni na delilah😁
Weee siwezi! Nyimbo za kidunia nyingi kuliko hizo gospel akhuu!!😅😅 Dona ndio nimeamka nalo, tena la kisamvu cha chuku chuku, na kambare ndevu, hapa nakunywa maji tu, ungeniongezea na hizo chapati inakuwa penyewe.. sema uje ujaribu gospel wakati una do, utaona raha yake. Tena weka ule wa Rose Muhando, wa Yesu ni bebe nikumbatiw nibebeee