Playlist: Ngoma/Music kali wakati wa tendo

Siwezi jamani, hii dhambi siitaki๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….. Aisee unaweka kama hii mnazidisha kasi ya mtanange.. sex ni ibada kama ibada lazima kuwe na song kama hizi
Your browser is not able to play this audio.
 
Utakula ambazo hazijaungua.. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Najiandaa na MO29.. niwe na energy ya kutosha
Sa si ule ugali wa dona jmn! Na hapa uwaza kuvunja amri ya6 tena kwa kutumia gospel.. energy ya Mo29 haitakiwi kuanguka hivi yatakukuta ya samsoni na delilah๐Ÿ˜
 
Sa si ule ugali wa dona jmn! Na hapa uwaza kuvunja amri ya6 tena kwa kutumia gospel.. energy ya Mo29 haitakiwi kuanguka hivi yatakukuta ya samsoni na delilah๐Ÿ˜
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Dona ndio nimeamka nalo, tena la kisamvu cha chuku chuku, na kambare ndevu, hapa nakunywa maji tu, ungeniongezea na hizo chapati inakuwa penyewe.. sema uje ujaribu gospel wakati una do, utaona raha yake. Tena weka ule wa Rose Muhando, wa Yesu ni bebe nikumbatiw nibebeee
 
Weee siwezi! Nyimbo za kidunia nyingi kuliko hizo gospel akhuu!!

Sawa njoo chukua!๐ŸคŒ๐Ÿพ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ