Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #21
Castro was toughField marshal kama Makonda[emoji16]
Bongo haina sehemu kama hizoKwa bongo hapa iyo sehemu ni wapi?
Jengo la wababe hilo mkuu
Ukifikishwa hapo,safe house,ndio mwisho wa kuonekana,Kuna wakati huwa naona mdada wa makamo anatoka ndani,kimavazi ni Kama beki tatu hivi,namlia timing siku moja nimteke,Hii ndio kama ile nyumba ya mikocheni walikopotea kina saa 8
watu wana mambo ya ajabu kama vile hawatokufaUkifikishwa hapo,safe house,ndio mwisho wa kuonekana,Kuna wakati huwa naona mdada wa makamo anatoka ndani,kimavazi ni Kama beki tatu hivi,namlia timing siku moja nimteke,
Watu gani tena hao mkuu?watu wana mambo ya ajabu kama vile hawatokufa
Elimu ndo ttzo, chukulia mfano mwanaume unatumwa na ukaue mtu huku ukijua ni lzm uuliwe Ili kuficha siri una akili kweli hata Kama ni njaa unakufa kwa faida ya wengine huku familia yako inatesekawatu wana mambo ya ajabu kama vile hawatokufa
Hii ndio kama ile nyumba ya mikocheni walikopotea kina sa
Kwa technology za kizamani za sasa angeshamfata osama kitambo.Fidel Castro alikua mjanja kupita maelezo.
Mataifa ya magharibi na Marekani yalihangaika nae miaka mingi bila mafanikio.
Hivi unajua kuwa mimi ni Taxi Driver tu? Mtu wa kipato cha chini?...Kaka, nimekuwa nasoma maandiko yako mengi humu nina elimika na kuburudika pia. Kuna kazi nataka nikupe. Kuna kazi nataka nikupe kama utaweza uidurusu kwa undani wake.
Kuna Kampuni ipo Kurasini inajihusisha na Usalama wa Mafuta inaitwa Global Fluids International(GFI), ni kampuni ya Kiisrael na kwa ninavyofahamu mimi, ni moja kati ya Makampuni Tanzu ya Mossad.
Wala sijakuuliza kazi yako, mimi hainihusu. Ila nimependa nikupe hiyo kazi wewe sababu habib A Hanga simuoni siku hizi hukuHivi unajua kuwa mimi ni Taxi Driver tu? Mtu wa kipato cha chini?...
Kazi yangu inakuhusu tena sana tu...Wala sijakuuliza kazi yako, mimi hainihusu.
Sawa.Kazi yangu inakuhusu tena sana tu...
Wakati ninatoa shikamoo ulikuwa hausemi marahaba nikaona kumbe nyie bado mnautaka ujana
Mimi kwa sasa ninawapa hizo shikamoo kimoyomoyoTulikuwa tunaitika kimoyomoyo.
Habibu B. Anga we miss you bro.Wala sijakuuliza kazi yako, mimi hainihusu. Ila nimependa nikupe hiyo kazi wewe sababu habib A Hanga simuoni siku hizi huku
Hii ipo nje kabisa ya uwezo wanguKaka, nimekuwa nasoma maandiko yako mengi humu nina elimika na kuburudika pia. Kuna kazi nataka nikupe. Kuna kazi nataka nikupe kama utaweza uidurusu kwa undani wake.
Kuna Kampuni ipo Kurasini inajihusisha na Usalama wa Mafuta inaitwa Global Fluids International(GFI), ni kampuni ya Kiisrael na kwa ninavyofahamu mimi, ni moja kati ya Makampuni Tanzu ya Mossad. Hebu naomba ujitahidi kufuatilia ili tujue hawa jamaa wana Operation gani kwenye ukanda wetu huu. Iko Mbele kidogo ya Uhamiaji upande wa kulia kama unaenda kwa Chagonja, nyuma ya Silver Town.
PoaSawa.