Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

Huwezi ukawa mjamaa na usiwe dikteta.Wajamaa wote ni madikteta hata Mwalimu alikuwa cold blood dictator aliyetawala Zama za Giza kwa king'ata na kupuliza.
 
Kaka, nimekuwa nasoma maandiko yako mengi humu nina elimika na kuburudika pia. Kuna kazi nataka nikupe. Kuna kazi nataka nikupe kama utaweza uidurusu kwa undani wake.

Kuna Kampuni ipo Kurasini inajihusisha na Usalama wa Mafuta inaitwa Global Fluids International(GFI), ni kampuni ya Kiisrael na kwa ninavyofahamu mimi, ni moja kati ya Makampuni Tanzu ya Mossad. Hebu naomba ujitahidi kufuatilia ili tujue hawa jamaa wana Operation gani kwenye ukanda wetu huu. Iko Mbele kidogo ya Uhamiaji upande wa kulia kama unaenda kwa Chagonja, nyuma ya Silver Town.
 
Kuna Kampuni ipo Kurasini inajihusisha na Usalama wa Mafuta inaitwa Global Fluids International(GFI), ni kampuni ya Kiisrael na kwa ninavyofahamu mimi, ni moja kati ya Makampuni Tanzu ya Mossad.
Hivi unajua kuwa mimi ni Taxi Driver tu? Mtu wa kipato cha chini?...
 
Kaka, nimekuwa nasoma maandiko yako mengi humu nina elimika na kuburudika pia. Kuna kazi nataka nikupe. Kuna kazi nataka nikupe kama utaweza uidurusu kwa undani wake.

Kuna Kampuni ipo Kurasini inajihusisha na Usalama wa Mafuta inaitwa Global Fluids International(GFI), ni kampuni ya Kiisrael na kwa ninavyofahamu mimi, ni moja kati ya Makampuni Tanzu ya Mossad. Hebu naomba ujitahidi kufuatilia ili tujue hawa jamaa wana Operation gani kwenye ukanda wetu huu. Iko Mbele kidogo ya Uhamiaji upande wa kulia kama unaenda kwa Chagonja, nyuma ya Silver Town.
Hii ipo nje kabisa ya uwezo wangu
 
Back
Top Bottom