Plaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior

Binafsi naona Rais Samia anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania.
 
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari
Rais Samia hakuhitaji kupiga kampeni mwaka jana 2020, hata angekaa tu ofisini lazima angechaguliwa kwa kishindo kwa maana uwezo wake unambeba.
 
Rais Samia hakuhitaji kupiga kampeni mwaka jana 2020, hata angekaa tu ofisini lazima angechaguliwa kwa kishindo kwa maana uwezo wake unambeba.
sisi Watanzania tunamuunga mkono Rais Samia kupinga ubeberu na kutetea Wanyonge.
 
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.
 
Ujamaa ni laana, yani mtu anajimilikisha nchi na WATU kama mali yaka binafsi? na hizo Nchi haziendlei Mpaka leo kwa kuua na kutesa watt wasio na hatia
 
Ujamaa ni laana, yani mtu anajimilikisha nchi na WATU kama mali yaka binafsi? na hizo Nchi haziendlei Mpaka leo kwa kuua na kutesa watt wasio na hatia
Kama ni maadui wa taifa waliovaa sura ya uraia unataka wazalendo wawafanyeje?
 
Hakuna uzalendo hapo, watu wanataka maendeleo
Unataka maendeleo gani mkuu? Marekani walikuwa na maendeleo ya majengo pacha ila yakalipuliwa na magaidi 9/11.

Leo Cuba kuna madaraja ya flyovers na kabla ya kulipuliwa na magaidi, hao maadui wanashughulikiwa kabla, sasa hauoni kuwa Cuba ipo juu kuzidi USA walioshindwa kunusa harufu ya hatari kwa taifa lao?
 
Umeshawahi kufika Cuba na USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…