mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,950
- 5,317
Inawezekana kabisaa.Kwani haiwezekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kabisaa.Kwani haiwezekani?
Usimdanganye mwenzio akapotea njia mkuu. Ninasisitiza tena haiwezekani.Inawezekana kabisaa.
Inawezekana kama kuna nia ya dhatiUsimdanganye mwenzio akapotea njia mkuu. Ninasisitiza tena haiwezekani.
HakikaInawezekana kama kuna nia ya dhati
Kwanini kusiwe na nia ya dhati?Inawezekana kama kuna nia ya dhati
Mtu anaweza akajifanya yupo serious kumbe anatania tuKwanini kusiwe na nia ya dhati?
Tazama tena mkuuLiko wapi Hilo jengo hapa chini, mbona silioni!?
Hii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mamaHakika
Hii Nchi inahitaji mtu jasiri kama Rais SamiaHii Nchi Samia ameifanyia mambo makubwa saaana huyu mama
Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangariHii Nchi inahitaji mtu jasiri kama Rais Samia
Rais Samia hakuhitaji kupiga kampeni mwaka jana 2020, hata angekaa tu ofisini lazima angechaguliwa kwa kishindo kwa maana uwezo wake unambeba.Samia anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni. Huyu mama ni ngangari
sisi Watanzania tunamuunga mkono Rais Samia kupinga ubeberu na kutetea Wanyonge.Rais Samia hakuhitaji kupiga kampeni mwaka jana 2020, hata angekaa tu ofisini lazima angechaguliwa kwa kishindo kwa maana uwezo wake unambeba.
Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.sisi Watanzania tunamuunga mkono Rais Samia kupinga ubeberu na kutetea Wanyonge.
Rais Samia tangia akiwa waziri katika wizara mbalimbali hajawai kuwa na mshindani katika kariba yake ya utendaji.Wale Mabeberu ambayo Lissu aliyokuwa anayetetea bungeni umesahau? Kama sio Rais Samia na JPM madini yetu yasingekuwepo.
Ujamaa ni laana, yani mtu anajimilikisha nchi na WATU kama mali yaka binafsi? na hizo Nchi haziendlei Mpaka leo kwa kuua na kutesa watt wasio na hatiaPlaza de la Revolución: Jela za siri, ndogo na zilizotisha chini ya jengo la wanamapinduzi wa kweli. It's now Cuba's Ministry of the Interior.
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa JamiiForums.
Hilo jengo unaloliona hapo juu, lenye picha kuuuubwa ya Ernesto "Che" Guevara swahiba mkubwa wa comrade Fidel Castro Ruz pamoja na bendera ya taifa Cuba, ni lile linalojulikana kama "Plaza de la Revolución".
Kwa kiingereza tunaweza kusema ni "Revolutionary Plaza" au "Jengo la Mapinduzi" kwa lugha ya Kiswahili.
Hapo awali lilijengwa na kampuni ya taifa ya bima ya Cuba, na kisha likachukuliwa na idara ya polisi wa siri (usalama wa ndani) baada ya Mapinduzi yaliyotokea nchini humo.
Haraka sana likawa jengo linalotazamwa kwa hofu kubwa na Wacuba. Kizuizi chake kidogo, chenye ghorofa mbili katika chumba cha chini cha jengo hilo kilikuwa sehemu ambapo wapinzani na maadui wa kisiasa wa utawala walifichwa.
Watuhumiwa wa wapelelezi (spies), na watu walioshutumiwa na wengine kama maadui wa taifa pia walichukuliwa na kushikiliwa kwa uchunguzi zaidi kitengo cha polisi wa siri wa Cuba (Cuban Secret Police).
Kama ilivyoandikwa na kusimuliwa na wengine ambao walinusurika katika mchakato wa kuhojiwa - neno jepesi ninaloweza kutumia mbadala wa mateso (torture) - "Plaza" ilikuwa kama kuzimu kwa wale waliochukuliwa na kufichwa huko.
Mwanadiplomasia wa Uingereza na mpelelezi Julius Bruce mnamo mwaka 1983 katika kupanga njama za kupindua utawala wa Castro alitoweka ndani ya "Plaza".
Baadaye ilikuja kufahamika ya kwamba wapelelezi, ambao walikuwa wamefanya sana kazi za ujasusi kwa niaba/udhamini wa serikali ya Waingereza, waliteswa na kuhojiwa huko nchini ya "detention cells" za "Plaza" kabla ya kupelekwa msituni nje kidogo ya jiji la Havana na kupigwa risasi.
Maafisa wengi wa Jeshi la Cuba lililokuwa linafanyiwa safisha safisha kwa kuondoa mamluki wa Marekani na dunia nzima ya ubeberu mnamo miaka ya 1970 walitembea kupitia milango huko "Plaza" na kamwe hawakurudi teeeeena katika familia zao.
Asubuhi ya Oktoba 19, 1988 Miguel Sanchez, mwanaharakati wa siasa za mageuzi nchini humo (Cuba) alifika katika ofisi ya Havana ya Ubalozi wa Canada kwa mashauriano juu ya kuomba hadhi ya hifadhi ya kisiasa nchini Canada.
Ilipofika Saa 1 jioni aliacha vitu vyake ofisini na kwenda nje kununua kahawa na fitafunwa kidogo kwa ajili ya kuchangamsha mwili wake. Miguel hakurudi tena.
Mlinzi wa Ubalozi wa Canada aliona wanaume kadhaa wakiwa wamevalia mavazi ya kiraia wakimsukuma Miguel kwenye gari ndogo. Alijaribu kuwazuia, lakini walimsukumia mbali. Wazee wa kazi wakaondoka na Miguel wa watu.
Fidel Castro aliitawala Cuba kwa miaka 30. Utawala wake ulikuwa na tuhuma nyingi sana za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na ukandamizaji wa kisiasa kwa jumla.
Vyombo vyake ya usalama wa ndani (Dirección de Inteligencia, DI) vilishutumiwa kwa kukandamiza kikatili aina yoyote ya wapinzani wa kisiasa. Serikali yake ilishutumiwa kujenga vyumba maalum vya kufanyia mateso katika upande wa chini cha jengo la "Plaza".
Jengo hili lililokuwa linamilikiwa na serikali katikati mwa jiji la Havana ambalo sasa linakaliwa na idara ya uhamiaji. Serikali ya sasa ya Cuba ilitoa ahadi ya kuibadilisha "Plaza" kuwa makumbusho, ahadi ambayo mpaka sasa bado haijatimizwa.
NB: Hivi unajua kwamba C.I.A walipanga operation ya kumpindua Fidel Castro almaarufu kama "Bay of Pigs Invasion" wakiwa gereji? Yaaani jengo maarufu la ghorofa mbili chini ni gereji ya magari ila juu ni ofisi za C.I.A huko Florida nchini Marekani? Kujua mkasa huu fuatiliana nami katika episode inayofuata ya "Revolutinary Plaza"
Soma Pia>>> 2016: Ni nani alifuatilia mkasa huu wa mauaji ya kijana Giulio Regeni? Mwanafunzi wa Italia aliyetekwa nyara Misri kisha kuuawa kwa tuhuma za ujasusi
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kama ni maadui wa taifa waliovaa sura ya uraia unataka wazalendo wawafanyeje?Ujamaa ni laana, yani mtu anajimilikisha nchi na WATU kama mali yaka binafsi? na hizo Nchi haziendlei Mpaka leo kwa kuua na kutesa watt wasio na hatia
Hakuna uzalendo hapo, watu wanataka maendeleo wao wanachunga madaraka na matumbo yao, kama ni wazalendo kwa nini wanaacha watu wanakua masikini, wanafilisi matajiri na wanaua wanaowakosoa, ila wao wanaishi kama wako peponiKama ni maadui wa taifa waliovaa sura ya uraia unataka wazalendo wawafanyeje?
Unataka maendeleo gani mkuu? Marekani walikuwa na maendeleo ya majengo pacha ila yakalipuliwa na magaidi 9/11.Hakuna uzalendo hapo, watu wanataka maendeleo
Umeshawahi kufika Cuba na USA?Unataka maendeleo gani mkuu? Marekani walikuwa na maendeleo ya majengo pacha ila yakalipuliwa na magaidi 9/11.
Leo Cuba kuna madaraja ya flyovers na kabla ya kulipuliwa na magaidi, hao maadui wanashughulikiwa kabla, sasa hauoni kuwa Cuba ipo juu kuzidi USA walioshindwa kunusa harufu ya hatari kwa taifa lao?