Pleasa msaada mke wangu amezimia ghafla ni mjamzito

Dr Shekilango

Senior Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
192
Reaction score
120
Wakati tukipata chakula cha jioni ghafla mke wangu niliona anaishiwa nguvu na kunilalia nikajiuliza sina cha kufanya. Kutoka na kuzimia niliamua kuanza kumpepea na baadaye amepata nafuu japo si sana, so kama wajamaa naomba mawazo, ushauri na hatua za kuchukua.
 

Mkuu kimbia hospitali,yani unakuja jf kuomba msaada badala umpeleke kwa daktari kwanza
 
Atakua mnafki uyu ivi kabisa mkee azime ukumbuke nakuingia jf

Hapana siyo hivyo mkuu wala mie siyo mnafiki coz sasa ametulia kidogo alfu niko kijijini sana hakuna huduma za karibu no usafiri ndiyo sababu.
 
Kwel we muuaji mkuu ukitaka kuamini ivo m ntakuambia mchome sindano ya kichwa!! Mkuu jamb kama hilo ni la kuwahi sehemu ya matibabu haraka
 
Mkuu ina maana mpaka unatia mimba hujuI hata dalili mbalimbali za ukuaji wa mimba? Angalia isije ikawa kifafa cha mimba. Sikubezi ila watu inatakiwa tuwe MAKINI pindi tuonapo wake zetu wajawazito tukae na wataalamu watupe maarifa ya kukabiliana na ukuaji wa hizo mimba,la sivyo tunaweza kusababisha vifo vinavyoepukika.Pole sana kama ni kweli.! Sasa wewe ni daktari wa nini?

 

habar yako mhuni
 
Alafu eti unajiita Dr Shekilango, hivi doctor gani unakuwa na medula ya chura,kweli wasambaa mnashida sana
 
Last edited by a moderator:
Anaota huyo, mwacheni akiamka atasimulia vizuri ...


▼
 
Jamani wacha kuniona kama siko siriasi niko siriasi tena sana nimesema tatizo ni huduma za afya ziko mbali sana kwa wanajua niko bukoba sehemu ya rwanga kijijini usafiri hakuna kabla ya kesho kwenda hosptal kuna njia ya uduma ya kwanza nzuri nichukue kabla ya matibabu na vipimo?
 

Cc Riwa Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…