mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Du yaani kijijini hakuna huduma ila za internate kweli yaani huu muda ukiwa unasubiri ushauri si bora ungepiga 991 kuliko ku post
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mimba ni changa, inawezakana inamzuia kula au anatapika sana. Hii huwafanya baadhi ya kina mama kuishiwa nguvu(sijawahi kuona kazimia though). Lakini mara kadhaa akiishiwa nguvu huongezewa drip, nadhani ya maji na B complex.
Sasa kama uko home, huduma ya kwanza itakuwa kumpa glucose.
Kama mimba ni kubwa, na amekuwa akipimwa nakukutwa na pressure iko juu, plus protein nyingi kwenye mkojo, miguu kuvimba sana, sio dalili nzuri hata kidogo. Hizi huwa ni viashiria vya kifafacha mimba. Hapa ni kumuwahisha zahanati, na mara kadhaa huanzishiwa uchungu.
Msaada wa hapa ni kumpa maji ya kunywa mengi kusaidia mkojo kuwa msafi na pressure kushuka.(hapa hii ni elimu yangu ya sangabuye skul of natural treatment)
Msinizonge, mie fundi mchundo natumia uzoefu tu.
Nashukuru sana kwa mdau ambaye amenisaidia mawazo mazuri na msaada mkubwa sana, na sasa tumefika hospital ya NDOLAGE Iliyoko Kamachumu Muleba nashukuru kwa mchango wenu hali ni nzuri na yuko salama sasa.
Nashukuru sana kwa mdau ambaye amenisaidia mawazo mazuri na msaada mkubwa sana, na sasa tumefika hospital ya NDOLAGE Iliyoko Kamachumu Muleba nashukuru kwa mchango wenu hali ni nzuri na yuko salama sasa.
Hapana siyo hivyo mkuu wala mie siyo mnafiki coz sasa ametulia kidogo alfu niko kijijini sana hakuna huduma za karibu no usafiri ndiyo sababu.