My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao