Wananchi wamechoka na umasikini uliopindukia kila mtu maisha magumu siyo mfanyakazi siyo mkulima siyo mfanya biashara inatosha mitano hiyo. Hao wanaonufaika huo uongozi hata milion Moja hawafiki sijui atapitaje, siku ya uchaguzi ndiyo atajuwa wananchi kiasi gani wamechoka na ugumu wa maisha aliouleta kwa makusudi kutaka matajiri waishi kama mshetani asijuwe masikini ndo wanatumbukia jehanam kabla hata ya hukum