Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Wakuu sina imani na wajumbe wa mkutano mkuu hasa wanaotoka mkoa wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu au yule mama maana akili ya wajumbe huwa wanaijua wenyewe.

Wajumbe ni wakata umeme wahuni sana wasiofaa kuwapa nafasi ya maamuzi kwenye mambo nyeti kama haya.

Laiti ningekuwa Mbowe ningeprint form moja tu ya Lissu anayetaka akatoe copy kwake kama walivyofanya upande wa pili. Haiwezekani mtu akubalike na wananchi wengi alafu tuanze upuuzi wa demokrasia. To hell with democracy, TL for presidency.
 
Umenikumbusha askari wa wayahudi wakipoulizwa na Yesu Kristu kuwa:
"mnamtafuta nani?" Wakajibu "Yesu wa Nazareti!" Alipowaambia kuwa "Ni Mimi" wote waliangukiana Kama hivyohivyo makada wa CCM walivyoangukiana bada ya wao kumuuliza Tundu Lisu kuwa "Tundu Lisu umerudi?" Alipowajibu "Ndiyo nimerudi!" Wote wameangukiana. Hehehe!
 
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.

Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Watuwekee lisu hata tukishindwa tutakuwa na amani tele mioyoni!! Na hakuna wa kulaumiwa!! Mambo ya Kachero mbobezi watuache kwanza, na huyu CHIBA WETU!!!
 
Wakuu sina imani na wajumbe wa mkutano mkuu hasa wanaotoka mkoa wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu au yule mama maana akili ya wajumbe huwa wanaijua wenyewe.

Wajumbe ni wakata umeme wahuni sana wasiofaa kuwapa nafasi ya maamuzi kwenye mambo nyeti kama haya.

Laiti ningekuwa Mbowe ningeprint form moja tu ya Lissu anayetaka akatoe copy kwake kama walivyofanya upande wa pili. Haiwezekani mtu akubalike na wananchi wengi alafu tuanze upuuzi wa demokrasia. To hell with democracy, TL for presidency.
CCM ni chama cha mapinduzi.

Chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo.
 
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
Unafiki wenu tu.
 
Mkuu ni wewe au?
 
Wambie siku ya kupiga kura waende kupiga vituoni sio mitandaoni ya kijamii, Maana wengi wa mitandaoni ata vichinjio hawana vya kura
 
Mleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.

Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.

Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.

Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.

Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi
Sema chadema sio watanzania .
 
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.

Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Kweli.. pia mh Bernad Membe aelewe hili na ashiriki kumnadi TL. Ni Bora BKM apewe u Pm
 
Mleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.

Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.

Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.

Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.

Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi
Akijipitisha MBOWE TU rasmi naenda ACT
 
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.

Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao

Kwa hotuba nilioisikia ya tundu lisu hakuna kitu pale saana hata kwenye msiba anenda tu kwa kujilazimisha lakini sio mapenzi yake, ni hadaa kwa watanzania.
Hajaguswa na chochote juu ya msiba huo na hawezi kuficha mazaifu yake yenye chuki.
Niwashauli washabiki wake mumshauri jinsi ya kuongea vinginevyo nyie mnaompa sifa mtapata aibu sana.
 
Back
Top Bottom