Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Wananchi wamechoka na umasikini uliopindukia kila mtu maisha magumu siyo mfanyakazi siyo mkulima siyo mfanya biashara inatosha mitano hiyo. Hao wanaonufaika huo uongozi hata milion Moja hawafiki sijui atapitaje, siku ya uchaguzi ndiyo atajuwa wananchi kiasi gani wamechoka na ugumu wa maisha aliouleta kwa makusudi kutaka matajiri waishi kama mshetani asijuwe masikini ndo wanatumbukia jehanam kabla hata ya hukum
 
Wagombea wote kwa ujumla watapata kura zisizozidi milioni moja, sasa huo ni upinzani au kusindikiza?
Kutokuwa na mpinzani ni kama alivyofanyiwa ndani ya chama chake ila ikitokea nafas unayogombea kuna watu wengine wanagombea NDO WAPINZANI HAO,hata akipata kura 0 ndo mpinzani ilaa hajapata kura
 
Katika ishu ya kisiasa kwa sasa hasa katika nafasi ya uraisi,tusijipe moyo wa kiuongo,JPM anarudi ikulu vizuri kabisa bila hata misukosuko,tulishauri pia Lisu abaki nyuma,ngoma apewe mwingine wa kucheza,Lisu ageuzwe Manju,ili arudi bungeni kukihamshwa kwa maandalizi ya 2025,aso amini ajipe moyo,uzi huu utaduibuka upya baada ya miezi minne kutoka leo.
 
Tundu lissu kabeba nyomi kuliko msafara wa mwili wa anko ben

Punguzeni sifa, unadhani hao watu walikuwa kiasi gani kulingana na watu walioko Dar es salaam kisha tuanzie hapo?
Kama mtu mzima unataka kumlinganisha na marehem, basi kuna shida kwenye ubongo wako.
 
Mleta mada uko sahihi, Hawa akina Nyalandu na Msigwa kwa kutumia kichaka cha demokrasia wanataka kuchelewesha ndoto za Watanzania kumuondoa Jiwe Madarakani.

Sasa hivi tulipaswa tuwe tunaongea namna gani ya kumsaidia Lissu ashinde, siyo kujadili tutampata lini mgombea wa uraisi kupitia Chadema.

Na Chadema wajifunze, wasipompa Lissu tiketi ya kugombea kwa sababu zozote za kimagumashi basi chama kitapata pigo kubwa sana hata kuweza kuwatoa katika reli.

Mtu aliyesimama kuuchallenge utawala wa Magufuli, jasiri asiyeogopa ndiye anayepaswa kupewa tiketi ya kupambana na Magufuli.

Kusimamisha mtu legelege kupambana na Magufuli ni kuuza mechi

[emoji120]
 
Back
Top Bottom