Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hoja kuhusu ndio the best man wa kum challenge rais Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli katika... kama nilivyoeleza hapaTupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Ubarikiwe sana mkuuNaunga mkono hoja
P
demokrasia ndani ya chama muhimu!Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.
Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.
Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.
Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.
Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.
Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Kuna jamaa anataka uhamie ccm Vp mkuu upo tayar halafu unagombea ubungeWasipomsimamisha Lissu naihama Chadema nabaki bila chama
Baba pasco kuwa muwaz tuu usiwe popo upo upande gani mzee baba??Naunga mkono hoja
P
Bila hirizi hii CCM haishindi ng'oCcm hakitegemei sanduku la kura, bali NEC + polisi
Rudia kunisoma, mimi nasimama na ukweli.Baba pasco kuwa muwaz tuu usiwe popo upo upande gani mzee baba??
Shida ni kwamba wanaweza kumuwekea lisu zengwe halafu chadema ikapoteza kabisa so nadhani mbowe ni back up in case lissu akahujumiwa ; Japo hujuma yoyote kwa lisu itakuwa na impact kubwa Sana kimahusiano ya Tanzania na mashirika na mataifa ya nje.
Asante sana Mkuu ila nisome tena!.Ubarikiwe sana mkuu
Umemsikiliza kijana machachari mwenye kujenga hoja Leonard Toja Manyama?
Kufahamika na nani?Ni kweli ila hana mvuto maana hafahamiki.
Kufahamika na nani?Ni kweli ila hana mvuto maana hafahamiki.
Tatizo hii NCHI hamuijui ... mnafikiri ni Bahati mbaya Mbowe kutaka kuleta ushindani kwa Lissu?
Kufahamika na nani?
Ajabu sana Mkuu, eti kwa nini asiachiwe lissu, kwa nn mbowe achukue fomu.Kama lissu anapendwa mkutano Mkuu utampitisha tu.Chama Cha demokrasia halafu kinaogopa Demokrasia.
Na wapiga kura walio wengi wa upinzani.