Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
Naunga mkono hoja kuhusu ndio the best man wa kum challenge rais Magufuli kwasababu Lissu ni zaidi ya Magufuli katika... kama nilivyoeleza hapa
Elections 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

However, I'd like to differ kwenye Lissu kumshinda Magufuli!. Lissu will only challenge but not to win but just to challenge na sio kumwangusha Magufuli kwasababu...

Ila hili wimbi la watia nia wa Chadema hadi Mbowe, tells me kuwa Lissu ni Just a Pacemaker and not a contender kwasababu ana mlolongo wa kesi za jinai, hivyo hii hoja yangu kumhusu Lissu na kurejea kwake, kwangu is still valid
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!
Usikute wanamngoja kwa hamu!, Lissu anajua!, Chadema wanajua,... wanamsubiri arudi, watasubiri sana!.

P
 
Tupo nje ya muda, hakuna mgombea anayefaa zaidi ya Lissu, huu si wakati wa drama, Lissu ni Alasa`nte Quatara wa Tanzania, hakuna mwenye uwezo wa kum challenge Magufuli na kumwangusha kwenye uchaguzi huu zaidi ya Lissu.

Kura zote za awali kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha Lissu anakubalika kuliko wagombea wote wanaoomba.

Tunajua umuhimu wa Demokrasia ndani ya chama chetu lakini kwa huu muda na mazingira ya kisiasa ya Tanzania Lissu ni bora kuliko wagombea wote kama ilivyokuwa Mandela kwa ANC, waliamua kumpa back up kubwa sana pamoja na Demokrasia yote waliyonayo ANC.

Huu si muda wa Mbowe, Msigwa wala Nyalandu, huu ni muda wa Tundu Lissu.

Kosa lolote ktk uchaguzi huu unaenda kuigharimu CHADEMA na tutaishia kugawana mbao na kuitoa CCM madarakani itakuwa ndoto nawaambia kweli.

Wakati wa ubaguzi wa rangi South Africa angesimamishwa Thabo Mbeki kugombea asingeshinda na wazungu wangeendelea kuitawala hiyo nchi, lakini kwa Mandela ilikuwa ni muda muafaka kwake, huu mwaka ndo utaamua hatima ya Chadema vinginevyo tutagawana mbao
demokrasia ndani ya chama muhimu!
 
Tatizo hii NCHI hamuijui ... mnafikiri ni Bahati mbaya Mbowe kutaka kuleta ushindani kwa Lissu?
 
Ccm hakitegemei sanduku la kura, bali NEC + polisi
Bila hirizi hii CCM haishindi ng'o
FB_IMG_1582080397242.jpg
 
Shida ni kwamba wanaweza kumuwekea lisu zengwe halafu chadema ikapoteza kabisa so nadhani mbowe ni back up in case lissu akahujumiwa ; Japo hujuma yoyote kwa lisu itakuwa na impact kubwa Sana kimahusiano ya Tanzania na mashirika na mataifa ya nje.

Angalizo muhimu sana kuhusu Lisu kufanyiwa mizengwe. Lisu ndio anayefaa, na iwapo atafanyiwa fugisu na Magufuli, basi wajiunge na Act, na Zito atafaa kuliko hao wagombea wote wa cdm.
 
Nmedharau sana huo mfano wako wa SA na Mandela! Kiufupi wakati ANC hata inhesimamish jiwe mbela ya makaburu, ANC ingeshinda.
 
Mimi lissu namkubali sana kuliko hats mbowe, Bali vikao viamue sio makelele, jambo muhimu chadema tendeni haki, atakayepata na apate, atakayekosa na akose.Ikiwezekana wagombea wote wapigwe mdahalo. Atakayepenya aungwe mkono na wore.Kipindi hiki chadema wafungeni breki wanachama au viongozi wenu waandamizi wanaoropoka mitandaoni has a kuhusu wagombea urais.Nidhamu Ni muhimu sana, chama kitafanya uamuzi.
 
Back
Top Bottom