Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Ukatupiamo kabisa?Yeah....nishamla lakini sikumbuki ni lini!
Nilipiga nyevu nyevu tu!
Bepaanah...mSapna kii beinteihaaaa
Ishq mein marjawan
Tuashq tushq zoob zooob
Wacha weeer[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Taraa huyoooo!!!Ishq mein Marjawan to my husband Mshana jr
Binadamu haishiwi cha kuongeaKwani hilo tu? Si wanasemaga mimi ni kibabu. Mara sijui nimekutafuna. Mara sijui nini....
Ma fans wangu tu hao. Huwa wanajiburudisha kupitia mgongo wangu.
Ila nimecheka sana aisee.
Kesho sijui watasema nini tu! Labda watasema mi ni bubu au labda nina mkia.....
Jiandae kuitwa ankoliHapa nadownload virus wa uchovu wa kusaka pesa..! Hapana mbane huyo mzigua mtie na mimba kabisa siyo unakunakuna juujuu..
Hahahahh..! Kama unakula chips ujue umeishafail..Jiandae kuitwa ankoli
Nakula sana ugali na mandondoHahahahh..! Kama unakula chips ujue umeishafail..
Mwenzako msosi wangu mkubwa ni magimbi, maboga, mihogo, viazi vitamu, nyanya chungu, mgagani na kunde.[emoji135][emoji135]Nakula sana ugali na mandondo
Uenda vnalingana na kazi unazofanyaMwenzako msosi wangu mkubwa ni magimbi, maboga, mihogo, viazi vitamu, nyanya chungu, mgagani na kunde.[emoji135][emoji135]
When you c him when you c him when aaa
Sitaki utani kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa napiga nyama kiti moto heavy two times in month, afu na supu regularly.Uenda vnalingana na kazi unazofanya
Halafi usijekuta unambebisha mtu hata no yake ya simu huna huhuhuhuhuhu mwanaume kubebisha hakikisha ushapiga na mzigo maana sometimes na sie hatueleweki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kijana wangu, mbona kama kiroho kimekudunda?
Mfyuuuu ushauri gani huo wa kutiana mimba kipindi hiki. Mimba mpaka baba J atoke madarakaniHapa nadownload virus wa uchovu wa kusaka pesa..! Hapana mbane huyo mzigua mtie na mimba kabisa siyo unakunakuna juujuu..
Alitumia condomKumbe umemla? Lini aisee. Ulipiga kavu?
Ulikua umekunywa Heineken nyingi sana ili usinione nilivyo mbaya ndo maana hukumbuki [emoji23][emoji23][emoji23]Yeah....nishamla lakini sikumbuki ni lini!
Nilipiga nyevu nyevu tu!
Na wewe si unao unaweza ukanipaHili gazeti linamaanisha kuwa unahitaji mkuyanga wa maana.
Haiwezekani upate muda wa kuandika mzalendo gazeti.