Please come to me my Mzigua90, i miss you so much my black african lady.

Please come to me my Mzigua90, i miss you so much my black african lady.

Kwani hilo tu? Si wanasemaga mimi ni kibabu. Mara sijui nimekutafuna. Mara sijui nini....

Ma fans wangu tu hao. Huwa wanajiburudisha kupitia mgongo wangu.

Ila nimecheka sana aisee.

Kesho sijui watasema nini tu! Labda watasema mi ni bubu au labda nina mkia.....
Binadamu haishiwi cha kuongea
 
Back
Top Bottom