Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,776
- 6,825
Ahsante mkuuPoleeee sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante mkuuPoleeee sana
Ishq mein Marjawan to my husband Mshana jrOmunyee demiss
MkuuUnapesa za kutosha mpaka uinvest kwenye mahaba???
Anyway priorities differ.
Sapna kii beinteihaaaaMil hi Gayaaaa!!
Kuch kuch hotaeeree
Lazime fire fighters waitwe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ukiwaka huo shughuli yake kuuzima sio ndogo
Bel bali wahuuuAhsante mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sizingui.
Hahahahhaaa. Hivi kwanini wakusingizie uongo huo
Heshima kwenu wahengaIshq mein Marjawan to my husband Mshana jr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lazime fire fighters waitwe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Wahengaa wenye mahabaa yaooo jfHeshima kwenu wahenga
nambebisha huku mubashara [emoji41]La kumbebisha mumu
Jf lazma isimame kwa muda.Wahengaa wenye mahabaa yaooo jf
Vipi kijana wangu, mbona kama kiroho kimekudunda?Mmh!
Hapa nadownload virus wa uchovu wa kusaka pesa..! Hapana mbane huyo mzigua mtie na mimba kabisa siyo unakunakuna juujuu..Mkuu
akili kubwa
hupend mambo ya mapenzi lakini nakuona hapo umechukua siti kabisa ndani ya MMU.
Mmh!Vipi kijana wangu, mbona kama kiroho kimekudunda?
Kumbe umemla? Lini aisee. Ulipiga kavu?Kwani hilo tu? Si wanasemaga mimi ni kibabu. Mara sijui nimekutafuna. Mara sijui nini....
Ma fans wangu tu hao. Huwa wanajiburudisha kupitia mgongo wangu.
Ila nimecheka sana aisee.
Kesho sijui watasema nini tu! Labda watasema mi ni bubu au labda nina mkia.....
Kumbe umemla? Lini aisee. Ulipiga kavu?
Hili gazeti linamaanisha kuwa unahitaji mkuyanga wa maana.We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria haba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Yeah, hakuna wa kunipa unachonipa, na wala
Hakuna wa kuniita unavyoniita
Hakuna wa kunifanya nihisi
Ninavyohisi nikiwa nawe kwako nimefika
Nataka uwe nami kila siku
Uwe nami niwe nawe iwe mchana na usiku ah
Uwe jirani, uwe nami tuwe ndani
Urudi nyumbani kwani kwangu we ni kila kitu, yeah
Na inabidi uwe hapa bila shaka
Muda hauendi natamani urudi sasa
Hata Mungu hapendi nagubikwa na mashaka
Niondoe wasiwasi naomba urudi faster
Ujue, upweke na hofu ni juu yako
Nimekumiss nataka nijue japo
Upendo wako unanifanya niwe juu
Na kama utachelewa nataka nitue hapo
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kutoka siku ya kwanza nilijua kwamba uuuh
Itakuwa ngum sana na nikawaza uuuh
Where you are you're far away, come back home
It's not the same without you, baby, come back home
I need you here with me, come back home
Tears on my pillow, eeeeh
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Kila siku nafungua panzia asubuhi
Naangalia nje njiani
Nikidhani pengine siku utarudi
Ili tena niwe furahani, natafuta nyayo zakoo
Narudi nijifariji kuona karibu utarudi nyumbani
Haielezeki, oooh I miss you
Aaah aaah ah ah
We acha tu, I miss you
Nimekaa nakufikiria ah baba
Nakuwaza kila saa
Tears on my pillow
Nakuwaza days and nights
Nimechoka nipo njiani
Inabidi uwe jiranini unipe furaha
Aaah tears on my pillow...
Nimechoka nipo njiani, mpenzi
Kwako Ceph[emoji173]