Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Zamu kwa zamu [emoji16][emoji16]Ilikua zamu ya Mzigua,tunaenda kwa zamu.Subiri mashetani ya kwao yakiamka na mimi hahaha ashindwe kabisa kwa jina la Yesu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamu kwa zamu [emoji16][emoji16]Ilikua zamu ya Mzigua,tunaenda kwa zamu.Subiri mashetani ya kwao yakiamka na mimi hahaha ashindwe kabisa kwa jina la Yesu
Mbona kicheko?Hahaha
Wakunyumba si nimekwambia sitaki vita na takataka yeyote. Naendelea kuwa mzigua huyu huyu hata wa nje ya JF asietoa nafasi ya kuzinguana na watu wasio na effect kwenye maisha yakeNilikuwepo mie nimepita kimyakimya ahaha nilimuona mzigua chizi
Asante mamaHongera dear, am happy for you
Nkuandikie na wewe ?okey safi sana
Keshen mkiomba mpate wenzaTulio single tukabebe mawe
Utata unaanza pale yule mtu anaposemaPenzi likiwa la moto linakuwa tamu
Na angejua gharama niliyotumia kununua angeomba kamba ajinyonge kabisa.Eti nauza mimi wivu aona yeye. Angejua kuuza kulivyo kutamu angeungana na mimi tuu
Wivu beb wivu unasumbuaNa angejua gharama niliyotumia kununua angeomba kamba ajinyonge kabisa.
Hizo za recently hazitufai wahenga.Duh nyimbo iyo ya zamani kidg inamaana r&b zote za juzi hapa ujazipenda au ndo nyimbo uliyoishika na inaendana na tukio lako
Na ukiwa na roho nyepes lazima uchukie kila mtu [emoji23][emoji23][emoji23]Wivu beb wivu unasumbua
Maisha yenyewe mafupi kuanza kuchukia tenaNa ukiwa na roho nyepes lazima uchukie kila mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hapo sasaMaisha yenyewe mafupi kuanza kuchukia tena
Ndio hapo sasa. Maisha yenyewe mafupiMaisha yenyewe mafupi kuanza kuchukia tena
Ndio mana nakupenda mie watu wasiokujuwa lazima wapate shida ila we mtu ni mtu wa pekee mnoWakunyumba si nimekwambia sitaki vita na takataka yeyote. Naendelea kuwa mzigua huyu huyu hata wa nje ya JF asietoa nafasi ya kuzinguana na watu wasio na effect kwenye maisha yake
Na angejua gharama niliyotumia kununua angeomba kamba ajinyonge kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wivu beb wivu unasumbua
Ndiwoooooo!Hahahahah kwamba hali ya hewa ndo imefanya nifungiwe?