Please Could You Be Honesty to Us?




Kwa hapo Finest utakuwa Unaomba pumzi maiti......
 
Duh, Ben hizi sifa zote awenazo mtu mmoja tu?lol...

Ha ha haaa,Bacha Bana! si ndiyo priority...

mi ninazo zoooteeee...nyuki anakumbatiwa babu kunguni anakung"utwa!!

Duh Rose,Mwambie...Bacha haamini

kasoro moja tu................................

Mi nakwambia kila mtu atatoa sifa zake lakini linapokuja suala la sasa naoa. Hivyo vitu ataanza kuvitafuta kwa clearing

Ha ha haaaa,you are funny....Na ukimpata atakuwa complicator,kwenye mahari tu atakuambia utafute wajumbe katika mikoa 12 Zanzibar na Bara
 
kasoro moja tu................................

ipi?
ipi?lione vile...ninazo zooooooooooooooooote ben aliniona nazo ndo akaamua kuniandika apa!!!
we mwanaume ebu nipigie kwanza nina muktadha chanya juu ya maisha yako ..kuchelewa kuwajibika kwa eito huu itatafsiriwa kama utovu wa nidhamu na adhabu tete italetwa juu yako.


nakuskilizia..
 
Sasa Ben naelewa umesema unatania
Lakini kama kweli ni mfanya biashara
Wataka awe anafanya biashara gani???
 
me kama me napenda mwanamke awe na vifuatavyo; 1. Awe na heshima, 2.Awe muwazi na mkweli,
3.Awe muelewa (understanding)'
4.Awe anajua kucare,
5.Awe msafi wa ndani na nje,
6.Awe mbunifu na asiyekuwa mvivu kitandani,
7.Awe na muonekano wa kiafrika na si kujibadilisha rangi yake halisi,
8.mwenye kupenda maendeleo,
9. Awe muongeaji wa kawaida na si kama kasuku,
hizi ndizo sifa ninazopenda mwanammke awenazo, ila kibinadamu kunawezekano wa mwanamke kukosa baadhi ya sifa zangu ilo si tatizo kwangu huwa naangalia kakosa sifa gani kati ya hizi na je hiyo alieyekosa inawezekana kumfundisha na kumzoesha akawa nayo? kama jibu langu ndio basi pia huyo mwanamke ananifaa.
 
Kwa hapo Finest utakuwa Unaomba pumzi maiti......
Sasa wewe bacha unakaa uswahilini utawapata wapi wa namna hiyo nimeishakwambia uhame huko lakini hautaki. Utaishia ku-date na mama muuza kachaso.
 
Labda wapo lakini kumbuka
wengi tumesoma shule za nyumba
kumi kumi.. hii lugha hapo juu ndo kwanza tinaona kwenye matangazo ya sigara..
Mmhhh ngoja mjomba arudi kutoka ulaya ya Dar Es Salaam atanosomea..
 

Hapo bold hapo nimepapenda
 
Sasa wewe bacha unakaa uswahilini utawapata wapi wa namna hiyo nimeishakwambia uhame huko lakini hautaki. Utaishia ku-date na mama muuza kachaso.

dah, umenikumbusha long time...................
Hivi kachaso ndo konyagi pori eeeeeeeeeeh?
 

hahahah hapana Babu ukisoma vizuri thread nimesema tunawauliza wanaume mseme ili kama kuna pa kujitetea as to why wanawake tunafanya hivyo tujitetee au kama kuna pa kukiri tukiri. Sichallenge bali ninajaribu kujitetea na kukiri.

Kwa scenerio uliyoianisha hapo juu ninaomba NIKIRI. huwa tunakosea loh...ila nadhani ni makosa ya kibinaadamu kama mnavyokoseaga nyie mnaporespond to human nature yenu!!

Sasa Babu na ile ya kuikagua simu kila ukiingia home.kuanzia sms, deleted calls e.t.c je ?
 
MJ1..nimerudi,oops,mada zako zinakuwa na kurasa nyingi mno...big-up!!
Mi sijaoa bado...lakini vigezo vyangu ni kama ifuatavyo:
-Kwanza asiwe mvivu kwenye game-hapa ni kufundishana ikibidi.
-Jikoni ndio hasa, ajue mapishi ya ukweli coz nimetaabika sana na masomo,mwili wangu kwa sasa unahitaji mapumziko mazuri yasiyo na stress,na nahitaji kuujenga mwili kwa chakula kitamu. Asipojua kupika hana nasfasi.
-Asiwe mpayukaji, yaani kidomodomo, awe mstaarabu na mwenye upeo flani wa mawazo.
-Labda nipo nje ya mada lakini napenda sana..'buff the body'' aka mshepu,sura ya kawaida, awe natural.
-akipenda siasa ni additional adv. coz naogopa asije nipa kibano nisiingie JF.
Haa sijui nitafanikiwa, manake hawa .com siku hivi...mmh!!
 
Labda wapo lakini kumbuka
wengi tumesoma shule za nyumba
kumi kumi.. hii lugha hapo juu ndo kwanza tinaona kwenye matangazo ya sigara..
Mmhhh ngoja mjomba arudi kutoka ulaya ya Dar Es Salaam atanosomea..

Huyu dogo siku hizi naona kahamia Birmingham....

Kama sivyo basi atakuwa mtaalamu wa kugoogle....
 
Labda wapo lakini kumbuka
wengi tumesoma shule za nyumba
kumi kumi.. hii lugha hapo juu ndo kwanza tinaona kwenye matangazo ya sigara..
Mmhhh ngoja mjomba arudi kutoka ulaya ya Dar Es Salaam atanosomea..
Unataka Kungu Fu Panda eheeee:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Halafu huyu Babu yako naye wenzake wakati wanaenda shule yeye alikuwa anaenda kuangua maembe.
 
Binafsi, mimi kama bacha,
sipendi mwanamke wa visasi,
eti umemwaga ugali, yeye atamwaga mboga lol...inahu............
KWA UJUMLA VISASI SIVIPENDI ASILANI!!!!!!!!!!!!!

Umesomeka bacha ..........so awe straight forward na asijitie ubabe mwe!! Sio yule umemkosea anakukomoa kwenye chakula cha udiku
 
Huyu dogo siku hizi naona kahamia Birmingham....

Kama sivyo basi atakuwa mtaalamu wa kugoogle....
Ulipokuwa unapewa ada ukalipe shule ulikuwa unaenda kula mishikaki ya kwenye cheleo pale Mwenge stendi matokeo yake unayaona sasa. Huko mbona kwa wachovu huko wanakaa akina Klorokwin na Uporoto
 
dah, umenikumbusha long time...................
Hivi kachaso ndo konyagi pori eeeeeeeeeeh?
Aisee!!! Kitu huwa naisikia chupa tatu kama vile umekunywa kreti tatu za Safari Lager
 

Si ndio nilisema sipendi mwanamke AFISA MPELELEZI? Hii ya kukaguana simu si ndo kupelelezana sasa? Si ndio kutoaminiana?

Mi sikagui simu yako, we unawashwa nini kuikagua yangu?
 

Haahhaa Sizinga askante sana kwa kurudi maana nimekusubiria mlango wazi ati.........

Yaani kwa wote walioainisha sifa zao hapa hakuna aliyetaja maswala ya msosi..........ssasa sijui wameshazoea kula vya wasichana wa kazi (maana wanawake wa siku hizi tunajidai tuko buzy hata kuingia jikoni)- Nimeipenda hiyo na si wanasema ...........A way to the Man's herat is through his stomach...........sijui nimepatia

Big up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…