Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kaka mdogo...hapo kwenye red
Niliwahi kukaa siti moja na binti kwenye basi toka Ar mpaka Dar. Wakati kanakaa kwenye siti kabla safari haijaanza, mzee mzima nikajiapia lazima nirushe ndoano manake kameumbwa aisee.... Kabla hatujafika Moshi kameshakula mayai matatu ya kuchemsha na karanga pakti mbili. Moshi kakanunua mwindi wa kuchoma kazi ikaendelea....Njia panda pale mibiskuti kakajinunulia na mayai ya kuchemsha.... agrrrrrrr!
Wazo la kukatokea likaisha manake huo ushuzi kalikokuwa kanaachia LOL
Babu hapendi mwanamke anayeachia USHUZI! Lolz
[/B]
Ndio maana ulipofika Dar ulikunywa chupa nzima ya Grant kwa kuvimbiwa
najaribu kutafakari hapo,
sasa sijui Babu utampata wapi mwanamke ambae hata huo ushuzi hatoi?
mkubwa naona unapiga ndogo ndogo hapo kwa belinda....!We mwenyewe hapo malaika, basi tu hujijui.
Hahahaha...
Ngoja nirekebishe kidogo : Babu hapendi mwanamke anayeachia ushuzi unaonuka bila staha, tena hadharani.
Mwenzenu napenda mchuchu mweupe, mrefu, mwembamba (model), mchuchu msafi, mjanja, anaejua mapenz, mwenye kujali hisia zangu etc kifupi sipend madem wanene!
mkubwa naona unapiga ndogo ndogo hapo kwa belinda....!
natumia bandiko hili kutoa ANGALIZO KUU....!
she is mine!...nimetoka nae mbali sana huyo niachie mimi mkuu...!we endelea na blackwomani
Leo hujamwamkia babu...why? Unataka kuchapwa bakora?
Mwanajamii ukitoka kwenye hii uweke ya kina dada utuulize na sie tunapenda nini sawa mama ..love you
We mwenyewe hapo malaika, basi tu hujijui.
Hizi thread nyingine tabu tupu!
Hizi thread nyingine tabu tupu!
Unajua kwa mfano eeh, mchuchu akiwa mtundu mtundu inakua poa sana. Mimi huwa napenda sana kucheza. Kwa mfano tukiwa nyumbani saa ingine ninaweza tu kukukimbiza kimbiza kama vile jogoo afanyavyo akiwa anataka kumega.
Sasa na mimi napenda kumkimbiza mwanamke wangu halafu nikimkamata nammega. Hii haiwezekani kama yeye hapendi kucheza.
Kucheza kwenye mapenzi kuna raha yake bana. Sio kila nyi mkitaka kumega routine inakuwa ile ile. Inaboa sana.
NN bana, kama nakuona hivi, kaingia uvunguni umemkamata....:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1: