Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Kaka mdogo...hapo kwenye red
Niliwahi kukaa siti moja na binti kwenye basi toka Ar mpaka Dar. Wakati kanakaa kwenye siti kabla safari haijaanza, mzee mzima nikajiapia lazima nirushe ndoano manake kameumbwa aisee.... Kabla hatujafika Moshi kameshakula mayai matatu ya kuchemsha na karanga pakti mbili. Moshi kakanunua mwindi wa kuchoma kazi ikaendelea....Njia panda pale mibiskuti kakajinunulia na mayai ya kuchemsha.... agrrrrrrr!
Wazo la kukatokea likaisha manake huo ushuzi kalikokuwa kanaachia LOL
Babu hapendi mwanamke anayeachia USHUZI! Lolz
Ndio maana ulipofika Dar ulikunywa chupa nzima ya Grant kwa kuvimbiwa