Please Could You Be Honesty to Us?

 
In genaral mwanamke awe msafi,ajue kupika jikoni lakini pia na chumbani,asiwe na tamaa zilizopitiliza za kipuuzi(pesa,mali,n.k)she should love me very deep from her soul and not orally,also aithamini familia yangu (parents+ma siblings)....asiwe nyoka ndani ya mfuko wa unga......ntarudi baadaye ngoja niendelee kukumbuka.
 
napenda mwanamke msafi,mtundu kiasi,(kote kote)asiwe mpole kupitiliza,upeo mkubwa wa mambo,ASIYENUNA NUNA,na pia asiwe 'vuvuzela!'kwa moyo wangu wote nachukia mwanamke anaenuna badala ya kuniangalia usoni na kuniambia nilipokosea,sababu ni rahisi sana kwangu kuhamishia attention yangu yote kwenye Euro Champions League,Series za NBA na mambo kama hayo na kusahau kabisa kama yupo kama tu hataki 'kufunguka' kwangu.bora asiwe mzuri kitandani ila asiwe ananuna nuna na mwenye gubu aisee!
 
Samahanini sana wajameni.

Kuna mtu kanionea Asha D?:ranger:
 
 
Kila mtu mtu ana vitu anavyovipenda..Vinaweza kufanana, lakini kuna uwezekano wa kuwa na tofauti kubwa kutokana na kwamba, watu wawili wanapokutana tabia zao kama 'mmoja mmoja' zinapotea, na wanatakiwa watengeneze tabia ya 'umoja' (Hapa ndio panahitaji utii,busara na unyenyekevu)..mtu unamwambia twende kushoto, yeye anakwenda kulia...????

Kwa upande wangu, kwa sababu nimemuona mzuri (machoni kwangu), hivyo kinachobaki ni 'qualities', na hizi ndio muhimu..

1.UTII - kama hawezi kunitii kile nichamwambia, ataniweka katika mazingira magumu
2.Upendo wa kumaanisha
3.Uelewa (Understanding)- atambue mimi kama mwanaume nina tabia za 'kiume', zinaweza zisibadilike na pia awe na uelewa wa mambo ya msingi
4. Aendelee kuwa mcha Mungu,na ajue bila mimi maisha yake yataendelea chini ya Mungu anayemuamini (kama sio mhudhuriaji wa nyumba za ibada, na mshiriki mzuri wa Mambo ya Mungu, kwangu mimi, ataniletea matatizo, maana najua atakuwa hana nidhamu toka rohoni..)
5.(usafi,ratiba,ajira,uchangamfu n.k ni 'added value')
6.Apunguze au aache umbea, na maneno mengi yasiyokuwa na maendeleo
7. Awe makini na kuzingatia mambo ili tutengeneze TABIA yetu..
8. Mawasiliano (communication) - ni muhimu;

Mbarikiwe
 

Rubuye123 aksante sana.............nafikiri kwa wale ambao tumeshawahi kukutana na watu wenza wenye gubu basi tumekuelewa ipasavyo. kina dada jamani mnasikia?? Tujiepushe na sifa hizi ama sivyo tutakuwa tunalia kila uchao lol!
 
 

Duh hapo kwenye nyoka ndani ya mfuko wa unga umeniacha kando my darling ninakuomba unitoe ujinga
 
Quality ambayo huwa ni very rare kuikuta kwa wanawake, KUWA WAKWELI! Ooooh, kama unaelewa ninachomanisha, basi hiyo ndo wanaume karibu wote tunaitafuta kwa mwanamke lakini nakuhakikishia tulio wengi hatujaipata.

Ukweli na uwazi saa zote, ni tatizo kubwa kwa mwanamke! Sijawahi kumuona wa hivyo na nilishakata tamaa kutafuta! Huwa mnasema wanaume ni cheater? Wanawake ni both cheaters and liars!!! Ukweli na uwazi hakuna. Kwa aliyekwishakaa na mwanamke anaelewa hili!
 
Duh wanawake wenzangu hili dongo zito hili...............aksante KipimaPembe tutajitahidi kuirekebisha katika hilo
 
Mimi the thing i hate most
ni mwanamke kunichunga chunga..........
I hate that..................

Nataka niwe free
i am a married bachelor lol
ha ha ha
 
Lizzy mbona unauliza maswali kwa mlengo hasi sana........dah.
 
 
Tabia nyingine ya maudhi ni ile ya kutojiamini. Ushaolewa, maswali ya ex wangu ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…