Una kifua cha chuma aisee....! Bravo, by the way I like the one who can tell me my weaknesses straight .....! Hata kama sijamfikisha anakotaka, let me know before she revenge....! Nitamuheshimu sana yule ambaye hayupo kushindana nami; mfano kama nimeteleza, basi naye ateleze...nikasirike, naye akasirike....! bali anikalishe chini na kutafuta tatizo ni nini.... Kwa hali kama hii, kila nitakapokuwa nalekea kufanya kitu, nafsi hunisuta na kujikuta nikisitisha mara moja.... this is a very strong lock that I can't unlock without her concern....! Hata akitongozwa na rafiki yangu wa karibu aseme mapema....! Asiwe na siri yoyote baina yangu na yeye...! Bali aelewe siri yetu baina yetu na wengine....! Hata kama mfano akiwa shuleni, na mwalimu wake akamtaka kimapenzi ili amuoneshe mtihani, aniambie... hata kama amepewa uwaziri kwa masharti fulani, lakini nipate taarifa mapema kupitia kwake na sio kungwineko....! Just to mention few...!