hapakazi ipoHa ha haaaa,you are funny....Na ukimpata atakuwa complicator,kwenye mahari tu atakuambia utafute wajumbe katika mikoa 12 Zanzibar na Bara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapakazi ipoHa ha haaaa,you are funny....Na ukimpata atakuwa complicator,kwenye mahari tu atakuambia utafute wajumbe katika mikoa 12 Zanzibar na Bara
Aksante Konakali nadhani sikuwa nimekupata vizuri pale mwanzo. Aksante sana kwa mtazamo wako juu ya ukweli na trust.
Mmmhhh fujo nimekataa..We mbona mbishi?
Kila siku nakuita kitandani huku unagoma... unabisha?
Nimewasoma wote, ngoja na mimi nitoe zangu.
1. Sipendi mwanamke mjuaji.
2. Sipendi mwanamke anayekubali kila nachomwambia kama vile mimi niko sahihi muda wote. Nina maana ninapenda majadiliano yenye kujenga.
3. Sipendi mwanamke anayependa kulakula kila wakati.
4. Napenda mwanamke muwazi. Sio mtu unamuuliza tatizo nini, unajibiwa hamna kitu wakati kanuna.
Nimewasoma wote, ngoja na mimi nitoe zangu.
1. Sipendi mwanamke mjuaji.
2. Sipendi mwanamke anayekubali kila nachomwambia kama vile mimi niko sahihi muda wote. Nina maana ninapenda majadiliano yenye kujenga.
3. Sipendi mwanamke anayependa kulakula kila wakati.
4. Napenda mwanamke muwazi. Sio mtu unamuuliza tatizo nini, unajibiwa hamna kitu wakati kanuna.
Lizzy umenichekesha sana mamii haya pengine bahati yako itajifungua leao lol...........
Hahahaa...mpaka sasa hivi naona chenga tu....labda nifanye mpango wa kujiUPGRADE nifikie vigezo vya hawa wakaka nisije nikadoda!!Lolzz...
Da Womanizer, hupendi kula kula chakula gani? au fumbo hilo? ha ha
Dah Belinda bana, hakuna fumbo hapo . Msome kaka mkubwa (Asprin) hapo juu utaelewa. (sio chakula ya usiku bana, hiyo mi ni mpenzi mno)Da Womanizer, hupendi kula kula chakula gani? au fumbo hilo? ha ha
Umeona eh Lizzy..........yaani ni zaidi ya unavyowezadhania!! mweHahahaa...mpaka sasa hivi naona chenga tu....labda nifanye mpango wa kujiUPGRADE nifikie vigezo vya hawa wakaka nisije nikadoda!!Lolzz...
We mtoto unapenda sana kusoma katikati....ya mistari!
Babu bwana, nataka tuwaelewe inavyotakiwa..siyo kuotea otea!!..muhimu kusoma kiundani zaidi!!..
Halafu na wewe una 'vigezo' vikali, lol...atakuwa malaika huyo uliyemzungumzia:-)))
Hiyo ya msosi mi hainipi shida..... mama asipojua kupika, mi mwenyewe naingia jikoni kumfundisha, manake nami kwa kupika nimejaliwa kipaji. Isitoshe msosi si sehemu ya hobby yangu, nikishapiga bia zangu mbili tatu, wala sijishughulishi na mamsosi.
Haa...msosi si ndio mpango mzima ,asprin,!! sasa kama we ni kilaji tu, unaweza kujutia badae..kwasababu wachakachuaji watakuwa wengi. Coz waweza kuwa mdhaifu maeneo!!lol
......manumbu aksante sana. Duh yaani hii nilikuwa ninaisubiria kwa hamu very unfortunately huwa sina maelezo ya kuitolea zaidi ya kukiri udhaifu..pengine kama kuna mwanasaikolojia angetueleza saikolojia ya mwanamke maana duh......wanawake wengi sana tuna hii kitu aisee.yaani umekosewa, umeombwa msamaha but still bado utalisema asubuhi, mchana na jioni na bado kesho utalikumbushia na kisha tunaliweka bank tukisubiri tena tuchokozwe mwe!![/QUOTE]
sasa hapo MJ1 ndipo mnapoharibu sasa,
ukikutana na wale wasiopenda ngonjera, basi ndo ana ku write off kabisa,
ok, poleni kwa kuwa umesema hii ni weakness yenu akina mama!!!!
lakini si ndo unaona sasa inavyowakosti!!!!!!!!!!!
Kaka mdogo...hapo kwenye red
Niliwahi kukaa siti moja na binti kwenye basi toka Ar mpaka Dar. Wakati kanakaa kwenye siti kabla safari haijaanza, mzee mzima nikajiapia lazima nirushe ndoano manake kameumbwa aisee.... Kabla hatujafika Moshi kameshakula mayai matatu ya kuchemsha na karanga pakti mbili. Moshi kakanunua mwindi wa kuchoma kazi ikaendelea....Njia panda pale mibiskuti kakajinunulia na mayai ya kuchemsha.... agrrrrrrr!
Wazo la kukatokea likaisha manake huo ushuzi kalikokuwa kanaachia LOL
Babu hapendi mwanamke anayeachia USHUZI! Lolz
Hiyo misosi tunayoipiga kwenye ulabu unadhani midogo? (Usiwaambie kina mama tafazali)