Very sad kwa kweli, lakini ni vipi wewe ukiwa kama mzazi utajuwa kile kitakacho jiri kwenye maisha ya hicho kiumbe unacho taka kukitoa uhai?interesting views...
Je hii ni kuua?
Does it having feelings? it doesn't see, it can't survive on its own, etc. When does it become a human?...Hii ni debate itakayoendelea milele. I dont support it...but ndo arguments in favour hizo
Pia....je ni bora kukatisha maisha at this stage, au kuacha aje kuwa omba omba au kama yule kwenye ile video Uganga?
Very sad kwa kweli, lakini ni vipi wewe ukiwa kama mzazi utajuwa kile kitakacho jiri kwenye maisha ya hicho kiumbe unacho taka kukitoa uhai?
Na kwa nini mpaka unasubiri mimba hiingie ili uhichoropowe!?Mkuu kama mzazi atajua kwamba hataki hicho kiumbe, na atajua hataweza kukipa upendo, basi bora akiepushe mabaya huko mbeleni. Solution ya hili ni kuweka clinic za kuondoa mimba mapema kabla haijafika mbali. Na zitakazofanya kazi katika mazingiza yaliyo-bora zaidi.
Oh no! This is so wrong....how can any human being with a heart and soul choose to do this?
Watoto kwanini watembelee JF bwana. Kama wazazi wao wanaona JF hapafai basi wasiwa ruhusu watoto wao kuingia. Sasa wanaona hizi picha ni graphic je watoto wakisign up halafu wakaanza kuchungulia kwenye jukwaa la wakubwa? Hao wazazi ndiyo wanabidi wacontrol watoto wao. Kama wanaona JF kuna pich hazifai wawaambie madogo waende website za cartoon network na Disney channel.
Our lives begin to end the day we become silent about things that matter!Martin King Luther Jr.ni afadhali kama hao watoto wakiona huu upuuzi who knows may be it will make think twice kabla ya kukumbatia magazeti ya picha za ngono wanayopeana shuleni au kabla ya kupractice hizo ngono na binti wa jirani... some people are doing it because of ignorance, they grow up hearing things like, it is not a baby is just a buch of cells au ni manyama nyama tu
interesting views...
Je hii ni kuua?
Does it having feelings? it doesn't see, it can't survive on its own, etc. When does it become a human?...Hii ni debate itakayoendelea milele. I dont support it...but ndo arguments in favour hizo
Pia....je ni bora kukatisha maisha at this stage, au kuacha aje kuwa omba omba au kama yule kwenye ile video Uganga? YouTube - Broadcast Yourself.
Na kwa nini mpaka unasubiri mimba hiingie ili uhichoropowe!?Wewe wangekuchoropoa ungali kinda ukepata wapi hii nafasi ya kuja hapa na kutoa mawazo yako ya kikatili... mawazo ya kuuwa vichanga ambavyo havikukuomba kuwepo kwenye tumbo lako ambalo unaliona bora zaidi ya hivyo vichanga?
Na kwa nini mpaka unasubiri mimba hiingie ili uhichoropowe!?
Wewe wangekuchoropoa ungali kinda ukepata wapi hii nafasi ya kuja hapa na kutoa mawazo yako ya kikatili... mawazo ya kuuwa vichanga ambavyo havikukuomba kuwepo kwenye tumbo lako ambalo unaliona bora zaidi ya hivyo vichanga?
How can someone forecast someone elses future so precisely to the point of killing him/her?
Watoto wangapi waliozaliwa kwenye maisha ya kawaida lakini wanaishi miserable life? Je na wale waliozaliwa kwenye maisha ya kimaskini lakini wanaishi maisha ya kawaida?
Mwanamke anapojihisi anamimba mtoto huwa tayari ana wiki kama mbili hivi, abortions nyingi ktk nchi zilizoendelea hufanywa kati ya wiki 8 hadi 10, check out by yourself how well the fetus is developed at this stage, kwa kifupi mtoto tayari ana moyo wenye mapigo, mfumo wa fahamu unaofanya kazi, uso, mikono, miguu etc na ana umbo la binadamu ktk nchi zetu hizi inachukia muda mrefu zaidi kwa mama kuwa na uhakika ana mimba, kufanya uamuzi wa kuitoa na kupata njia za kuitoa
besides, someone not being able to see, feel or take care of himself can not justify his murder...Je kwa sababu moja au nyingine mtu akimchukua mtoto wake ambaye haoni, hasikii maumivu wala hawezi kujihudumia akamuua atakuwa ametenda sawa? Watu wana guts za kufanya huu unyama si kwa sababu mtoto tumboni haoni ila kwa sababu wenyewe hawamuoni huyo mtoto, kama huyu mtoto angewekwa hapo mezani mtu akaambiwa haya huyo hapo ua! angemuua?
Hizo picha ndio ukweli halisi wa kile kinacho fanyika.Okay, lets not let emotions run high on this! Mmeweka picha zenye kusudi la ku-arouse emotions kwa watu...
Sitakuchukia mkuu na wewe ukiahidi kufanya hivyo. Vile vile juwa kwamba upo huru kabisa kubadilisha msimamo wako.Lakini hii ni discussion, and it's a highly contreversial issue. Na mimi nimeamua kuchukua upande tofauti na wewe, so don't hate me! Pili, ningependa kubadilisha mwelekeo wa argument yangu ya kwanza, maana ilikuwa weak kidogo.
Hivyo vitoto vinavyo nyofyolewa matumboni mwa mama zao ni binadamu, kama mimi na wewe. Tatizo ni kuwa havina uwezo wa kujitetea.Kwenye sheria topic hii inaingia katika ishu ya murder. Katika element za ku-prove murder, kwanza kabisa aliye-uawa ni lazima awe mwanadamu. Sasa kama hichi kiumbe ulichoua hakitaweza ku-meet hii requirement ya kwanza, basi abortion si uuaji. Nadhani mmenielewa. Na kama mtasema iwekwe sheria mpya ya kukataza hichi kitendo, je italeta picha gani kwa hivi viumbe? Si itamaanisha kuwa hichi kiumbe si binadamu, na hivyo kuangusha argument yenu yote ya kukipa usawa kama mwanadamu. Sijui mmenielewa? Kwa sasa ningependa ku-discuss kama hichi kiumbe ni mwanadamu.
Ndugu yangu, dah! Yaani nashindwa hata namna ya kukujibu hapa...! Mmmh!Mimi sidhani. Na sababu ninayotoa ni kuwa hakina basic human elements. Hizi ni vitu kama uwezo wa kupumua, kutoa uchafu, kuwa na feelings, nk. Hapa debate ita-move kuwa more scientific, lakini ndo hali halisi nionavyo mimi.
Nadhani kungewekwa sheria ya kukigeuza hichi kiumbe kuwa mwanadamu baada ya stage fulani ya mimba, ambapo kitaweza kuishi 'chenyewe' (kwa support za mashine - NICU).
Prenatal development
Prenatal development is divided into two primary biological stages. The first is the embryonic stage, which lasts for about two months. At this point, the fetal stage begins. At the beginning of the fetal stage, the risk of miscarriage decreases sharply,[27] all major structures including hands, feet, head, brain, and other organs are present, and they continue to grow and develop. When the fetal stage commences, a fetus is typically about 30 mm (1.2 inches) in length, and the heart can be seen beating via sonograph; the fetus bends the head, and also makes general movements and startles that involve the whole body.[28] Some fingerprint formation occurs from the beginning of the fetal stage.[29]
Electrical brain activity is first detected between the 5th and 6th week of gestation, though this is still considered primitive neural activity rather than the beginning of conscious thought, something that develops much later in fetation. Synapses begin forming at 17 weeks, and at about week 28 begin multiply at a rapid pace which continues until 34 months after birth. It isn't until week 23 that the fetus can survive, albeit with major medical support, outside of the womb. It is not until then that the fetus possesses a sustainable human brain. [30]
Okay, lets not let emotions run high on this! Mmeweka picha zenye kusudi la ku-arouse emotions kwa watu. Lakini hii ni discussion, and it's a highly contreversial issue. Na mimi nimeamua kuchukua upande tofauti na wewe, so don't hate me! Pili, ningependa kubadilisha mwelekeo wa argument yangu ya kwanza, maana ilikuwa weak kidogo.
Kwenye sheria topic hii inaingia katika ishu ya murder. Katika element za ku-prove murder, kwanza kabisa aliye-uawa ni lazima awe mwanadamu. Sasa kama hichi kiumbe ulichoua hakitaweza ku-meet hii requirement ya kwanza, basi abortion si uuaji. Nadhani mmenielewa. Na kama mtasema iwekwe sheria mpya ya kukataza hichi kitendo, je italeta picha gani kwa hivi viumbe? Si itamaanisha kuwa hichi kiumbe si binadamu, na hivyo kuangusha argument yenu yote ya kukipa usawa kama mwanadamu. Sijui mmenielewa?
Kwa sasa ningependa ku-discuss kama hichi kiumbe ni mwanadamu.
Mimi sidhani. Na sababu ninayotoa ni kuwa hakina basic human elements. Hizi ni vitu kama uwezo wa kupumua, kutoa uchafu, kuwa na feelings, nk. Hapa debate ita-move kuwa more scientific, lakini ndo hali halisi nionavyo mimi.
Nadhani kungewekwa sheria ya kukigeuza hichi kiumbe kuwa mwanadamu baada ya stage fulani ya mimba, ambapo kitaweza kuishi 'chenyewe' (kwa support za mashine - NICU).
Hatuwezi kusema embryo/fetus anageuka kuwa binadamu anapoweza ku survive kwenye incubators, NICU etc, incubators zilivumbuliwa miaka ya 1800 na tangu technology hii iwe invented imekuwa ikiongezwa ubora ili ku support watoto wachanga premature wenye umri mdogo zaidi na zaidi na bado teknologia hii inaendelea kuongezwa ubora wake, sasa karne hii umri wa mtoto premature kuweza kuishi baada ya kuzaliwa unategemea sana na kukua kwa technologia na postnal care
Labda tuongelee kuhusu human biological development ambayo ni process in which human being grow to maturity, biologically, this covers human growth from a human zygote to a human adult,
Human being starts life as prenatal (zygote then embryo then fetus), after he is born he is called a child, then the same human becomes an adolescent etc
For that reason, human becomes human as soon as there is life in him (as soon as fertilization takes place) being small, not able to survive out of uterus, being premature etc does not make him less human,
interesting views...
Je hii ni kuua?
Does it having feelings? it doesn't see, it can't survive on its own, etc. When does it become a human?...Hii ni debate itakayoendelea milele. I dont support it...but ndo arguments in favour hizo
Pia....je ni bora kukatisha maisha at this stage, au kuacha aje kuwa omba omba au kama yule kwenye ile video Uganga? YouTube - Broadcast Yourself.
hiyo video imenisikitisha kuliko hata hizo picha
watu hawatoi mimba kwa kupenda, na sio tu kwa ajili baba mtoto ameikataa mimba, sababu nyingi za kutoa mimba ni uwezo
ni vigumu kutaka kuwa na familia wakati uko masomoni huna income yoyote
Si halal hata kidogo......Iwapo mwanamke amebakwa (na majambazi/mwendawazimu/etc) akapata ujauzito, ni halali kuitoa hiyo mimba au?
Inajulikana kuwa hicho kilichopo tumboni hakihusiki kwa njia moja au nyingine na jarima ile ya kubakwa mwanamke huyo, na maadam haikuwa ridhaa ya mwanamke kufanywa hivyo na alijitahidi kupambana na mbakaji/wabakaji akazidiwa, ni wajibu wake kukihifadhi hicho kiumbe na M'Mungu Atakilinda na kukijaalia kuwa ni chema na poza kwa mama yake.Mnamfikiriaje mwanamke wa namna hiyo? Fikiria ni mtu unayemjua anakuomba ushauri.
hiyo video imenisikitisha kuliko hata hizo picha
watu hawatoi mimba kwa kupenda, na sio tu kwa ajili baba mtoto ameikataa mimba, sababu nyingi za kutoa mimba ni uwezo
ni vigumu kutaka kuwa na familia wakati uko masomoni huna income yoyote