Please!: Msaada Jinsi ya Kuwaangamiza hawa Paka

Please!: Msaada Jinsi ya Kuwaangamiza hawa Paka

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
610
Habari wanajamvi,
Naombeni kujuzwa jinsi ya kuua Paka kwa kutumia sumu,hapa mtaani ninapoishi nina ugeni mkubwa sana wa paka hasa wakati wa usiku,nimekuwa nikipata kero kubwa sana
je,nitumie sumu aina gani ili niweze kuwaua?
 
Hawafi kwa sumu, ni majirani zako wanakutembelea
Mkuu Asante ungempa Dawa basi ili paka wasiweze kumtembelea wakati wa usiku Mkuu.@namanyele jaribu kufuga nyumbaani kwako Bata Mzinga hao paka wanaokuja usiku kukutembelea hawata fika nyumbani kwako.

978px-Meleagris_gallopavo_Wild_Turkey.jpg
 
Last edited by a moderator:
Paka hauliwi kwa sumu hata sku moja ni mjanja balaa na hawezi Kula sumu, labda utafute dawa YA kuoheshea mifugo inaitwa deep alaf nunua nyama mbichi AU ua panya thn nyunyizia hyo dawa alaf iache kwa masaa sita hv thn itehe usiku wakila hawatakua wazima zaidi YA nusu saa,
 
duh pole sana mkuu, huo ugeni si mchezo hasa wakianza kuimba yale manyimbo yao usiku nyauuu nyauuuuuuu :smile-big:
 
Kuna dawa ya kumaliza paka. Nishawahi kuwa na hilo tatizo. Halafu wachache wakifa, wenzao watatoroka. Chukua dawa ya mende, ile nyeupe ya unga. Changanya na maziwa uwaachie nje wanapokaa usiku. Tumia kijiko kimoja kwa nusu glass ya maziwa fresh.
 
mkuu kama nikikosa maziwa naweza kutumia nyama au samaki kutegea hiyo sumu ya mende?
 
Waue uone songombingo lake! Ndan hakukaliki,,, mana aclimia kubwa ya paka sio wa kawaida,
 
Tafuta german shepherd mkuu,hakika utalala usingizi mwanana
see the attached imagegerman s.jpeg
 
Kama ni Paka wa kwelikweli siyo paka watu ni rahisi tu,saga chupa ile supa saga kabisa changanya na maziwa mgando na ugali watengee kabisa sehemu wanakopigia kelele usiku,asubuhi hakikisha kama wamekula waongezee baada ya siku tatu au nne hutawasikia tena watakuwa wamekufa au wanauguza madonda ya chupa zilizonasa tumboni
 
halafu walivyo ukishaingia ndani kulala tu na wao wanajitawala utafiki walikuwa wanakusubiria.
 
Kama ni Paka wa kwelikweli siyo paka watu ni rahisi tu,saga chupa ile supa saga kabisa changanya na maziwa mgando na ugali watengee kabisa sehemu wanakopigia kelele usiku,asubuhi hakikisha kama wamekula waongezee baada ya siku tatu au nne hutawasikia tena watakuwa wamekufa au wanauguza madonda ya chupa zilizonasa tumboni

Wewe gaidi hasa
 
Mtafutdd manyau nyau yeye ni kiboko ya hao paka wa usiku
 
Mzizimkavu bata mzinga ukimfuga nyumbani kwako paka hawaji tupe darasa faida za bata mzinga kufuga
 
Back
Top Bottom