Please...sema hata neno tu, waweza kumuokoa huyu mama!

Asante FL,

Nitamfikishia ujumbe wako. Ila kwa maelezo yake..yeye ndiye humsalimia na kumpokea mume akirudi home na nyumba waliyonayo ina maji ya kutosha ikiwa ni pamoja na heater. Ila mume ni mpenzi wa kuchat na simu na kuangalia movie peke yake. Hataki usumbu wa mke. Hapo ndio anapouliza, afanye nini?

Huyu mama ananikumbusha kisa likichonipata ndoa yangu ya kwanza. Miye nliolewa nikiwa na miaka 18 ndo kwaanza namaliza kidato cha sita sijui hili wala lile. Huyo mume alikuwa kanizidi miaka 13 na alikuwa keshaonja na kujua maisha ni kitu gani. Nikazaa watoto mapacha wakati niko mjamzito tulikatazwa na daktari kushiriki tendo kwa vile watoto walikaa vibaya na tumbo lilikuwa linanisumbua sana. Kume mwenzangu alikuwa na kimada chake cha zilipendwa akawa anajipumzishia hapo. Nimejifungua, akaendelea naye na visa juu ya visa. Kukatiza stori ni kwamba sikukaa naye miaka miwili nilianza! Kuja kushtukia nishapata mtu mwingine siku nyingi. Tukaharakisha divorce, na sasa niko raha mustarehe na mume wangu wa pili. Nnachotaka kumwambia ni kuwa ndoa hiyo huenda siyo aliyoandikiwa. Ajiulize kama kweli huyo ndo mume aliyeandikiwa? Mwanaume anakutesa hakupi sex mwanaume gani nawe ni mwanamke kamili damu inachemka? Asimzingue.... akikuona wa nini wenzio husema watakupata lini! SEPAAA!!
 
Nimehamia kwa ya kwako imetulia sana. Thanks
 
Napenda kumpongeza huyo mama kwa kua jasiri na muungwana kutaka kulizungumzia swala hilo, nadhan mpaka hapo ameshapata ahueni angalau kidogo, nadhan ni hatua kubwa katka kutafuta suluhu ya tatizo hili! kama walivyo sema walio tangulia hapo juu, swala ni gumu sana hasa ukisikiliza upande mmoja tuu, lakin kutokana na maelezo hapo juu ya huyo mama bila shaka shababi anatakua anafanya ndio sivyo, na kwa hali kama hiyo kurudisha hali kuwa ya lawaida itachukua muda mrefu na hata pia kupelekea katika kutowezekana kwa matazamo wangu hasa kama mwana baba huyo hata nuia kupata suluhu ya tatizo hilo!
 
DC, the truth has three sides kama zilivyo pembe tatu za story. Kwakuwa hatujamsikia mume kilio chake, hatutaweza jua ukweli. Ila kwa kuunga unga na experience zangu kwenye kesi hizi, nitakujibu kama ifuatavyo;

1. Suala na unyumba katika ndoa yao yenye umri wa karibia miaka 4 wakiwa na watoto 2, limekumbwa na ukame wa ajabu. Wanashiriki tendo la ndoa kama mara 2 tu kwa mwezi na ni lazima mume atake. Mwanamke akiomba anaambiwa kuwa mume hawezi kufanya tendo la ndoa mara kwa mara. Wakati wa uchumba wao na siku za awali za ndoa yao, walikuwa wakishiriki tendo la ndoa hata zaidi ya mara 2 kwa week na wote waliliridhika na kufurahia tendo hilo. Hali ilianza kubadilika baada ya kama miaka 2 hivi. Mbaya zaidi hata kama mmoja akirudi safari baada ya kukaa kwa muda mrefu kiasi cha week nzima au zaidi, bado hakuna uhakika wa tendo la ndoa!

...hii inatokana na boredom pale wanandoa wanapoamua kuwekeza zaidi kwenye tendo la ndoa badala ya kufanya mapenzi. Hisia zinaanzia kwenye matamanio, kukumbatiana, kuchezeana, tendo la ndoa, kuridhishana na mwisho 'kupongezana.'

2. Mawasiliano ndani ya nyumba hasa hasa yale ya kimahaba nalo limekuwa tatizo. Yaani ni kama vile wanaishi maktaba. Muda mwingi mume akiwa nyumbani anacheza na simu yake akituma na kupokea sms kutoka kwa watu tofauti. Pia mume akiwa nje na jamaa wengine anakuwa mchangamfu sana, akiongea na vicheko juu.

...Effective communication breakdown. Hakuna jambo linaloharibu masikilizano na maelewano kama ubishi/kubishana mara kwa mara. No wonder, wengi huishia kukaa kimya ili kujinusuru na mabishano ya maudhi. Madhara ya kujifanya kichwa ngumu/Pessimist kwa kila analoongea mwenza.

3. Vitu vingi vya mume vimefunigiwa katika mkoba (brief case) wenye password ambayo mke hajui. Pia mume anazo account za benki ambazo mke wake hazijui kabisa. Na simu za mume zimewekewa password ingawa vitu vyote vya mke ikiwemo simu, account za bank n.k viko wazi na mume anavivinjari wakati wowote anaopenda.

Uaminifu. Kupekua pekua vitu vya mwenza wako ni ishara ya kumshuku, au kutomuamini. Kuna wengine, wana search na kuishia hapo hapo, kuna wengine wana search, wanahoji, wanapewa majibu LAKINI bado wanakataa maelezo eti hayajitoshelezi. No wonder wengine hujionea bora nusu shari.

4. Ni nadra kwa mume kukubali na kusifia (to appreciate) kitu alichokifanya mke. Na mara nyingi anamkatisha tamaa katika mipango yake anayomshirikisha.

Inawezekana hata alipokuwa anasifiwa alikuwa anabetua mdomo kutoafiki hizo appreciations, Mume kajionea ujinga.

Kutokana na haya matatizo na mengine mengi, huyo mama amekosa raha muda mrefu na aliwahi kufikiria kujidhuru (got closer to attempt suicide) ila kwa sasa ameamua kutafuta ushauri ama wa kuokoa ndoa au maisha yake. Amesali sana, amfeunga sana na kubadili makanisa kama nguo za mashidano ya mavazi lakini bado nazunguka pale pale...

Attention Seeker! Mtu anayetishia eti atajiua akikosa hiki au kile ni attention seeker fulani, mental Retarded!
Anatafuta sympathy, kila mara anajifanya yeye victim. Kwa wale waliowahi kukutana na mitoto iliyodekezwa/ Spoilt Brat,...wengi wao huishia kwenye tendencies kama hizi.

Best way ni kuwaambia ukweli, kwamba wao ni madereva wa mawazo yao, She have to Grow Up and accept the fact yeye ana matatizo!
Ajiangalie atavyoweza tatua tatizo lake kwanza kabla ya kutafuta jinsi ya kuchomoa kigunzi cha mumewe. Abadilike, awe appreciative kwa yote alojaaliwa nayo incl Mume, watoto na ndoa yake. Ajifunze kumshukuru Mw Mungu kwa majaaliwa yake, kisha ndio aanze kuomba na kuyafanyia kazi matakwa yake mapya na kuyafufua ya zamani.
 
Nimehamia kwa ya kwako imetulia sana. Thanks

yAANI Dena,
Mi sipati kukueleza hata nusu ya yaliyokwisha nipata.Fikiria unaolewa na mtu anakutoa uschana wako uko innocent kabisa.. anakufanye usiende chuo, unaamini umepata mtu wa kukuongoza kimaadili na kimaisha kumbe ni nyoka tena cobra! sikumkawiza hata kidogo.Nilimwacha.Na niliye naye anajua akileta za kuleta ataona rangi zote za rainbow!
 
Yamenikuta mwenzio ndo maana nimesema maana the same like yours
 
JF wengi hawaoneshi rangi zao za ukweli kuogopa kuwa judged.Wachache wetu tunatoa story zetu ili ziwe fundisho kwa wengine. Ushauri mwing humu huwa naona ni unafiki zaidi kuliko ukweli.Askudanganye mtu... wewe mwenyewe ndi muamuzi wa maisha yako unavyotaka yawe.Mengine ni ya kukuongezea tu.
 
Akikuzingua piga chini endelea na ustaarabu mwingine
 
Sana wanaume wanamaudhi sana sasa unamnunia mwenzio ili iweje. Na huyu dada naye si atambae zake tu siku hizi hakuna cha kubembelezana kihivyo ukiboreka unaanza mbele

Kutambaa ndo suluhisho lakini kusema ni rahisi kuliko kutenda (ndo wasemavyo wadada wengi).

Binafsi nakubaliana na wewe. Kubembeleza NO na ukiniboa nakutosa lakini ukiniletea na kunipa nakumega vilevile. Ukienda ayeyaa for good na yenyewe poa kwani kupatikana replacement wala si kazi and life goes on.
 
Akikuzingua piga chini endelea na ustaarabu mwingine
wALIKUWA WANAJIDANGANYA ATI WAKO WENGI! Hawajui hiyo tabia yao mbaya ya kutafuta ladha tofauti imechangia sana wanawake kukosa uaminifu! Kwanza unakuwa mwaminifu kwa nani wakati wao wenyewe hawana hata chembe ya uaminifu?
 
Kutambaa ndo suluhisho lakini kusema ni rahisi kuliko kutenda (ndo wasemavyo wadada wengi).

Binafsi nakubaliana na wewe. Kubembeleza NO na ukiniboa nakutosa lakini ukiniletea na kunipa nakumega vilevile. Ukienda ayeyaa for good na yenyewe poa kwani kupatikana replacement wala si kazi and life goes on.

Yeah and it works both ways too ma broda! Replacement zenu ziko nje nje..na naqweza kuishi na wewe na huku niko na mtu mwingine vile vile wr ma heart is!
 
Kwani unadhani hilo nakubishia dadangu? Nakubaliana na wewe asilimia zote 100.

Hakuna uaminifu duniani. Unaweza ukawa na mwenzako na anaapia kwa miungu wote kuwa anakupenda na wewe kwake ndo mwanzo na mwisho huku pembeni ana side piece yake.

Ni full usanii tu na ni kwa jinsia zote mbili.
 
Kweli bana... lakini kumbuka R Kelly kaimba " when a woman loves... she loves for real" na pia " when a woman is fed up...." jazia mwenyewe.....
 
Even love fades...kwa hiyo as far as I'm concerned mapenzi ni usanii tu. I have seen people who fall in and swear up and down upon everything only to come and fall out it. Yes, everything has a reason but still kwangu mimi humans beings just can't be trusted.
 
kulingana na hii habari...mama ndo ana matatizo japo inaonekana kama mama anaonewa.......

wewe fikiria huyu jamaa hampigi....hamnyimi chakula.....mavazi nk.... kuna kitu huyo mama amemfanyia mumewe sasa mumewe akaweka level of access....yaani kama ni database mama anaruhusiwa kuona ile interphase tu.... na baba anabaki yuko kwenye schema......

sasa ili upate mwafaka wa jambo hili na wewe msuluhishi usuje onekana mbaya badae......natural justice inatakiwa....muulize mume wa huyu dada......

kuna kitu huyo dada kakuficha......yaani ni kama mwanamke anayefanya abortion halafu akienda kuungama anaungama dhambi zingine tuu... na ile moja kubwa kabisa anaiaccha......muulize vizuri nini amemfanyia mume wake

Nadhani Edson shida imetokana na huyu mama baada ya kupata watoto. Unajua sisi wanaume tuko kama watoto vile tunahitaji attention. Mwanamke anapo kuwa busy na huduma kwa mtoto, jamaa anatafuta huduma mbadala. Sio lazima awe na nyumba ndogo ila sasa hata hizo movie ni kuingia kwenye ganda kama kobe. Kutokana na hali hiyo inaweza kuzaa matunda ya matendo mengine ambayo upande wa mama sasa anashtuka, kumbe hiyo process ilianza zamani kwa taratibu. Kutibu hii hali kwahitajika counselling ya hawa wawili. Yahitajika mtu mwenye hekima, awe Pastor, Rev, Sheik au mjomba respectable au wazee mama na baba. Yahitajika huyu baba aelezwe kuwa ndoa ni faundation ya a larger family anayo ijenga yeye na mwenzake. Kwa hiyo faundation lazima iwe strong, asitumike kuhalibu kazi aliyokwisha ianza. Pamoja na mama anatakiwa kujua kuwa vile vile mme anahitaji attention kama mtoto asijipotezee kwa wototo tuu mambo mengine yatahalibika.
 
Dark City Endelea na hiyo huduma na wewe pia inakupa changamoto na experience. Mbarikiwe.
 
kam mtu hukuzaliwa nae tumbo moja nilazima kuishi nae milele????????????

aanze maisha upya peke yake....
 
Huyu mama ananikumbusha kisa likichonipata ndoa yangu ya kwanza. Miye nliolewa nikiwa na miaka 18 ndo kwaanza namaliza kidato cha sita sijui hili wala lile. Huyo mume alikuwa kanizidi miaka 13 na alikuwa keshaonja na kujua maisha ni kitu gani. Nikazaa watoto mapacha wakati niko mjamzito tulikatazwa na daktari kushiriki tendo kwa vile watoto walikaa vibaya na tumbo lilikuwa linanisumbua sana. Kume mwenzangu alikuwa na kimada chake cha zilipendwa akawa anajipumzishia hapo. Nimejifungua, akaendelea naye na visa juu ya visa. Kukatiza stori ni kwamba sikukaa naye miaka miwili nilianza! Kuja kushtukia nishapata mtu mwingine siku nyingi. Tukaharakisha divorce, na sasa niko raha mustarehe na mume wangu wa pili. Nnachotaka kumwambia ni kuwa ndoa hiyo huenda siyo aliyoandikiwa. Ajiulize kama kweli huyo ndo mume aliyeandikiwa? Mwanaume anakutesa hakupi sex mwanaume gani nawe ni mwanamke kamili damu inachemka? Asimzingue.... akikuona wa nini wenzio husema watakupata lini! SEPAAA!!

Huo ushauri haufai tafuta suruhisho kwanza, mume na mke wa mwanzo ni muhimu katika maisha yako. Mtangulize Mungu katika mipango yako.
 
Back
Top Bottom