Pliz pliz nisaidieni..

Pliz pliz nisaidieni..

Nenda kaandikishe ndoa.....hivi yeye aitwa nani kwani? Labda aitwa dadapoa?
 
walimu ni wake wazuri/wema imekuwaje tena kwako baba\?
 
Picha ya maisha ya ndoa yako, unaipata kwenye maisha ya uhusiano wenu kabla ya ndoa. Usitegemee kama yuko hivyo atabadilika ukimuoa, au kama mnagombana sana kwenye uchumba mkioana mtaacha no itakua hivyo hivyo. Kwahiyo atabadika kwa kipindi then atarudia tena, na wewe tabia yakuingia kwenye sim ya mwenzio usipoiacha hutaicha hata ukioa na itakugombanisha na mwenzio kila siku. Kuhusu kumuach my dear kuna magonjwa siku hizi na kushare love na kila mtu itakufanya ujute, Pengine alikua anakusaidia ukipata kazi na kusimama mwenyewe ndo raha yake. Jibu unalo mwenyewe kunyoa au kunyolewa.
 
Wewe unadhani anaweza kubadilika?.
ma opinion piga chini ila kama unataka kurisk komaanae labda atabadilika
 
kaka utamuacha nani, wakati we ulisha achwa zamani. hapo huna chako, we mbumbumbu!
 
Sikio la kufa halisikii dawa,naamini umeshauriwa vizuri...........achana na huyo mwalimu wako............wanawake wapo.
 
Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa.. Kiumri kanizidi miaka 2. Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi kutokuwa na kazi hvyo sikuwa na pesa.. Nilimfatilia kma mwaka ndo akanikubali, kunipa penzi baada ya miez 6.. Tatizo limeanza nilipopata kaz mkoani.. Kila nikimpigia cm anaongea yasiyoeleweka.. Mwishowe anasema nipgie bdae kwa kutoa sababu hafifu, ukimpigia hapokei.. Bdae anasema nilikuwa kwny kelele.. Niliporud Dar nikaamua nikae kwake.. Nimekaa mwez 1 akawa hataki niguse simu yake ambayo iko bize mara mia ya mimi.. Ni zaid ya msg 20 na calls kadhaa kwa ck ktoka kwa w2 mbalimbli.. Anapokuwa hayupo nachukua simu yake na kukuta msg zinam'refer kama hny, dia, swt, wife 2 b n.k.. Kila nikimuuliza tunagombana mpaka presha inampanda na kupoteza faham.. Mbaya zaid nimegundua huwa ananidanganya kwa kuniaga anaenda sehem flani kumbe ana miadi.. Ninataka KUMUACHA naomba ushauri wako.. Na amegoma kabisa kubadilika..

Samahani mbumbumbu!
We kweli ni mbumbumbu. hapa hukutakiwa kuomba ushauri ila kuwajulisha watu yaliyokupata ikiwa ni pamoja na hatua ambazo umshachukua tayari, sana sana wangeweza kukupa pole unazostahili. Ungekuwa unatkea kwetu Tarime, ukawakusanya watu na kuanza kuwaeleza utumbo wa namna hii, unaweza hata ukawasababishia kesi. Sipendi kukwambia nini wangeweza kukufnya kwa kuwaeleza utumbo huo!
 
Hapo kwenye bluu anayepoteza fahamu ni wewe au yeye? Kama ni wewe achana naye huyo, uliambulia penzi la muda na sasa hakutaki tena. Utakufa bure kwa kulazimisha mapenzi! Ushasema ulimtaka wakati huna kazi, kwa hiyo alikupa msaada wa penzi pengine hata pesa kidogo za kujikimu. Sasa umeshapata kazi endelea na maisha yako....Usimfanye aseme kwamba wema wake kwako umemponza !
 
walimu ni wake wazuri/wema imekuwaje tena kwako baba\?

Ni wake wazuri ndio maana mbumbumbu hataki kuachia ngazi, anapambana mpaka mwisho ili aoe mwalimu! Tehetehetehe! Jaman na mimi nitafutieni mwalimu wa Sayansi Kimu tafadhali!
 
kaka utamuacha nani, wakati we ulisha achwa zamani. hapo huna chako, we mbumbumbu!

Uwii mnanivunjia mbavu zangu, kweli majina yana maana ukiitwa shida ni utakua washida sikuzote, na ukiitwa mbumbumbu utaachwa kama ndugu yangu mbumbumbu hapa.
 
Samahani mbumbumbu!
We kweli ni mbumbumbu. hapa hukutakiwa kuomba ushauri ila kuwajulisha watu yaliyokupata ikiwa ni pamoja na hatua ambazo umshachukua tayari, sana sana wangeweza kukupa pole unazostahili. Ungekuwa unatkea kwetu Tarime, ukawakusanya watu na kuanza kuwaeleza utumbo wa namna hii, unaweza hata ukawasababishia kesi. Sipendi kukwambia nini wangeweza kukufnya kwa kuwaeleza utumbo huo!

Jamani mwacheni mbumbumbu wa mwalim anapewa somo na mwalimu wake navile kamzidi na umri, ila wasiwasi wangu mbumbumbu hawezi elewa coz yeye ni mbu mbu mbu.
 
Pole na ninakuomba ondoka kwa amani, usipende kufugwa hivyo. pOLe
 
Back
Top Bottom