Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walimu ni wake wazuri/wema imekuwaje tena kwako baba\?
We Mbumbumbu kweli.....unasubiri nini hapo?? Ahh
karibu mrembo mzuri!
Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa.. Kiumri kanizidi miaka 2. Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi kutokuwa na kazi hvyo sikuwa na pesa.. Nilimfatilia kma mwaka ndo akanikubali, kunipa penzi baada ya miez 6.. Tatizo limeanza nilipopata kaz mkoani.. Kila nikimpigia cm anaongea yasiyoeleweka.. Mwishowe anasema nipgie bdae kwa kutoa sababu hafifu, ukimpigia hapokei.. Bdae anasema nilikuwa kwny kelele.. Niliporud Dar nikaamua nikae kwake.. Nimekaa mwez 1 akawa hataki niguse simu yake ambayo iko bize mara mia ya mimi.. Ni zaid ya msg 20 na calls kadhaa kwa ck ktoka kwa w2 mbalimbli.. Anapokuwa hayupo nachukua simu yake na kukuta msg zinam'refer kama hny, dia, swt, wife 2 b n.k.. Kila nikimuuliza tunagombana mpaka presha inampanda na kupoteza faham.. Mbaya zaid nimegundua huwa ananidanganya kwa kuniaga anaenda sehem flani kumbe ana miadi.. Ninataka KUMUACHA naomba ushauri wako.. Na amegoma kabisa kubadilika..

kaka utamuacha nani, wakati we ulisha achwa zamani. hapo huna chako, we mbumbumbu!
Samahani mbumbumbu!
We kweli ni mbumbumbu. hapa hukutakiwa kuomba ushauri ila kuwajulisha watu yaliyokupata ikiwa ni pamoja na hatua ambazo umshachukua tayari, sana sana wangeweza kukupa pole unazostahili. Ungekuwa unatkea kwetu Tarime, ukawakusanya watu na kuanza kuwaeleza utumbo wa namna hii, unaweza hata ukawasababishia kesi. Sipendi kukwambia nini wangeweza kukufnya kwa kuwaeleza utumbo huo!