PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

Duh wewe unaota mchana kweupe, hata shada la maua halijakauka tunayabaini yaliyokuwa yamejificha ya kijambazi na wizi mkubwa.

Alituita wanyonge akafanya mambo kinyume cha katiba na ubabe kumbe lilikuwa lijizi libobezi la mali na liliiba ktk uchaguzi.

Tukiyajua yote, tutalitandika bakora lile kabuli lake na kuliwekea pingu lile kabuli ili panapo kufukuliwa tu akutane na pingu jambazi pia dikteta hilo bobezi
Karibuu nchi nyingi zilitamani ziwe na Rais kama Magufuli nyie mnamsemam vibaya hivi. Kwli nabii haheshimiki kwao.
 
Profesa yupo articulate sana.

Na nilichogundua yupo vizuri kwenye kiswahili na kiingereza,akiongea kiswahili achanganyi na kiingereza.
 
Misukule kama BAK, Mshana Jr, Asprin, Behaviorist, Sky Eclat na wenzao lazima waje kutukana utasema JPM kawabebesha mimba na kuwakana. Wanahangaika mpaka unawaonea huruma JPM ni ukuta kumpinga ni kupoteza nguvu zako bure.
🖕🖕🖕
 
Huyo PLO kala maharage ya wapi? Ya Kisumu au ya Chato? Hivi pilipili asiyoila inamwashia nini? Namuomba akome kulichafua jina la Lumumba. Nilikuwa nikidhani ni mtu wa maana kumbe takataka tu. Kama anampenda dikteta uchwara kama mwendazake akanywe naye chai huko aliko.
Huyo bwana hata Wakenya wanamdharau sana
 
una nini wewe,hata macho yako huyatumii,kama aliiba kwa kiasi hicho na huo ujenzi ameufanya na nini?Magufuli is the True son of Africa in PLO Lumumbas voice.
Kwahiyo unanilazimisha nimkubali Magufuli?
 
Huyo Professa nae ni Mwizi wa hatari kuna kitengo cha Anti Corruption cha Kenya alikipiga fedha nyingi hadi kuishia kufukuzwa na wala haaminiwi tena na Raia wa Jamhuri ya Kenya
 
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli.

Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.


PL.O Lumumba endelea na ngonjera lakini siye twaelewa kuwa Mungu ameamua kutupumzisha na kutufuta machozi ya miaka mitano. Huyu jambazi na muuaji ameenda zake.
Tulipotaka kutumia njia za kidemokrasia kwenye sanduku la kura akaingilia kwa nguvu zote kupora kura ili aendelee kutuua na kutuumbua ndipo Mungu alipoamua kushuka mwenyewe mara ya pili na kumbeba jumla jumla. Mara ya kwanza alishuka kumponya mbeba maono yetu TAL.
SSH yupo anatuvusha hadi ng'ambo ya pili.
Jaduong PLO usitusumbue,
 
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli.

Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.


Hilo ni jingalao pekee la Kenya lenye PhD ya jalalani labda lilisoma na Mwendazake, linalia leo kwa nini halikwenda Chato wakati wa mazishi likazikwa pamoja na mzalendo mwenzie? Labda lilisoma UDSM!
Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli.

Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.

 
Mungu wa hajabu sana uenda mpk sasa mwenda zake hajapasuka tumbo
 
Si aende tu huko aliko asitupigie kelele.Huyu hakunywa Kikombe tulichokunywa..ana bwabwaja sana kana kwamba ndio anaijua Bongo.
 
Back
Top Bottom