johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Chadema watakubishia bwashee!Chato kule hamna kitu , ni chuki Tu za watu , kule cha maana zaid ni hospital
Prof Lumumba anamuita Tindu Lisi!Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Uwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?Chato kule hamna kitu , ni chuki Tu za watu , kule cha maana zaid ni hospital
Kwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Na ile uwanja ya ndege ya kimataifa iko poriniChato kule hamna kitu , ni chuki Tu za watu , kule cha maana zaid ni hospital
wahenga walisema kila mwamba ngoma huvutia kwake na ndicho alichofanya Prof Lumumba huyo ni teja kwa mwendazake hasikii haoni kila hoja ya ubaya wa mwendazake huitwist vizuri na mark up.Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Amesoma hapo UDSM bwashee!Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Uwanja wa ndege kila wilaya upo!Na ile uwanja ya ndege ya kimataifa iko porini
Inshu ni risasi?Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?