Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Na wewe unatamani upigwe ya tako????Kwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe unatamani upigwe ya tako????Kwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
HahahahahahahahahahahHahah.........Sasa sisi tuitikiaje humu???
Kwani hukupaona pale alipoapishiwa Mwigullu Nchemba!Kukata mzizi wa fitina wangepiga picha nyumba anayofikia kama IKULU yake kule Chato; ambako hata Rais Kenyatta amewahi kulala!!
Ha ha ha kwa hiyo ndio mana anasapoti kwa mpalange!?Kwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Na uwanja wa ndege na taa za barabarani!Chato kule hamna kitu , ni chuki Tu za watu , kule cha maana zaid ni hospital
Siabudu mtu mimi...naongea ukweli..refer picha na videos za msiba wa magufuli kuanzia Mwanza, Geita mpaka chato..unafikiri wale ni nani zaidi ya wapiga kura? Binafsi kuna sera za magufuli nilikuwa nazipiga ila ukweli ni kwamba nimeumizwa na msiba wake...na hawa wapuuzi wanaoendelea kutaka kumshambulia wakati amezikwa na hawezi kuwajibu watazidi kupoteza sana kisiasa..watu wanaona kwa kiasi gani hawana busara..refer maneno ya Lumumba sio yangu na najua anasema.ukweli.Kuabudu mtu inakusaidia nini?
Ukipigwa risasi ndio kila saa wewe ni mihasira tu? Inakuwa na maana gani sasa? Kina Mandela nao wasemeje sasa?Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Punguza ashki wewe!Uwanja wa ndege kila wilaya upo!
Ni suala la muda tuu utajua hujuiApoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Kwani hukupaona pale alipoapishiwa Mwigullu Nchemba!
Una hakika?!!!Uwanja wa ndege kila wilaya upo!
PLO ni mweupe Labda kwa nyie msiofuatilia masuala ya nje ya TZ.Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Hayo yanamilikiwa na mapato yanainaingia kwenye accounts za Magufuli?PLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Umbea uko wapi manka?Mtoa mada umbea utakusaodia nini Mara baada ya Maisha yako hapa ulimwenguni?
mwenye chuki binafsi ni marehemu dikiteta magufuliNimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Very patheticPLO ni Mzushi tu ,anajua accounts zote za JIWE? Kwani Chato Airtport haipo? Burigi Park? Shamba Pori la Santos halipo?
Hayo yanamilikiwa na mapato yanainaingia kwenye accounts za Magufuli?
Unamalizia uzi wako kwa "maendeleo hayana chama" halafu unaleta habari ya Chadema. Bwashee vipi? Mbege ya leo kali eeh!!Chadema watakubishia bwashee!